Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

Dkt Guston

Senior Member
Feb 28, 2022
105
110
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya.

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
 
Wakomoe nenda ata canada
Canada anaendaje bila visa mkuu, kote huko wembe ni uleule ukisimama nchale ukikaa nchale. Iko hivi ukitaka kupata visa mfano ya Canada ni muhimu kuwa na docs zinazoaminisha bila mashaka kuwa wewe huendi kukaa moja kwa moja utarudi nchini kwako soon visa yako ikiisha.

Na je unaomba visa ya kwenda masomoni, kutalii, umealikwa na dungu au rafiki na je huyo aliyekualika ana hadhi gani ni permanent resident wa huko uendako? Kuna organization ya huko imekupa mwaliko nk

Mambo ni mengi ila endelea kuomba bila kuchoka utapata tu, kingine fee ya application ya visa hua hairudishwi wether umepata au haujapata.
 
Ndio awakomoe aende canada
 
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Mbona sioni sehemu uliyobaguliwa
 
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Omba visa ya Russia au Ukraine achana na hao mabeberu.
 
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.

589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.

USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"

Niggas can never be saved.
 
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Mkuu umeomba VISA ya aina gani?Unataka kwenda US kufanya nini?Unafanya shughuli gani?
 
Back
Top Bottom