waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania SOMALI hawataki kutambuliwa kama Waafrika, WAARAB hawataki Watambua Wasomali kama ni wenzao

    https://www.instagram.com/reel/DSQZ7HokTLO/?igsh=bmlnNHZ1cng4azJz
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa miji ya Africans

    Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu nyingi duniani Actually sababu zipo nyingi ila kwa leo acha tuangalie miji Unaweza kushangaa ila ukweli...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri moja ya mateso ya kujitakiaa waafrika ni pale tunapo mshirikisha Mungu katika kila nukta ya sayari hii

    Ni kazi ya Mungu. Ni Mapenzi ya Mungu. Mungu amependa zaidi. 👆👆 👇👇 🗑️🗑️ YA DUNIA NI YA DUNIA TU, YA MUNGU NI YA MUNGU
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna allergy kubwa sana na UWAJIBIKAJI, hatupo tayari kuonekana tumekosea

    Tuna tatizo kubwa sana pale tunapo kosea kufikiria ni wapi pa ktupia lawama, kusingizia, kubana ukweli, kuwapa kesi wanaoanika ukweli, n.k. Na hata pale kila kitu kinapokuwa wazi tunakimbilia kuomba misamaha ya sinema huku mambo yale yale yakirudiwa. Kitu pekee kinachoweza kutulinda ni sheria...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

    Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza. Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
  6. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache kulia lia kwa kukosa pesa. Tunaweza wote kuwa mabilionea

    Kila Mwafrika, akidhamiria, anaweza kuwa milionea au bilionea. Mimi nakataa dhana kwamba Waafrika tumelaaniwa. Kama ni laana, kwanini mabilionea hawa wa Afrika hiyo laana haijawaathiri? Hawa hapa baadhi tu ya mabilionea Waafrika na mali zao (net worth in billions of dollars): 1. Aliko Dangote...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Gaza kituogopeshe Waafrika. Wamagharibi wakiamua kutuua wote ili watwae ardhi na rasilimali hawashindwi!

    Kuna watu ni naive, wanadhani injustice ikifanyiwa watu fulani basi hilo haliwahusu. Na pia huwa kuna kasumba ya watu kuabudu Mwenye nguvu. Kwa watu wa aina hii makosa yote huwa ni ya asiye na nguvu. Kwao Mwenye nguvu akimtemea mate asiye na nguvu hilo siyo tatizo, ila asiye na nguvu naye...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipotafuta ukweli wa dini za kuja wakasimamia waliyolishwa juu ya yesu na muhamad wataendelea kuwa maiti

    Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu. Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni. N.K.
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sisi waafrika na waarabu tumevumbua au kutengeneza mitambo ipi?

    Ukichunguza mitambo yote iliyopo duniani, utagundua imetengenezwa na wazungu, wachina, wajapani n.k Sasa najiuliza, sisi waafrika pamoja na ndugu zetu waarabu, tumetengeneza mitambo ipi hapa duniani? Kwa sababu nikiangalia ata kitendea kazi changu cha kukwangulia nyanya hapa jikoni, naona...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utumwa unavyoendelea kutuumiza waafrika

    WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Mungu akituchoma moto waafrika itakua double punishment hapa kwenyewe tunaishi jahanamu tayari

    Je MUNGU atakubali kutuchoma moto tena sisi waafrika? Hiyo sio double punishment? Toka mwanzo tunaiishi jahanam hapahapa duniani kutuchoma tena moto si utakua uonevu? Naomba MUNGU atusamehe sisi waafrika kama huo moto upo sisi tupewe msamaha kama special group au ww unasemaje? Eeh Mungu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  18. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Dini na Waafrika

    Mungu" unayemwamini ni utendaji wa moja kwa moja wa kundi fulani la watu lililofanikiwa kuwatawala babu zako kwanza. Kabla ya Wazungu na Waarabu kuleta miungu yao, babu zenu walikuwa na miungu yao pia. Ubinadamu umeamini katika si chini ya miungu 5,000 tofauti katika miaka 10,000 ya historia ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika wengi wakipata taste kiduchu ya power wanakuwa GREEDY na SELFISH ?

    Katika nchi nyingi za Afrika, tumeona jambo la kushangaza lakini la kusikitisha: mtu akipata tu ladha kidogo ya madaraka, ghafla anasahau misingi ya utu, uwajibikaji, na usawa ambayo yawezekana alikuwa mwanaharakati wa kuvipigania hadi akaaminiwa kupewa cheo alichonacho. Akishapata madaraka...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Je Waafrika wasiomwamini Yesu siyo wa Mungu?

    Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
Back
Top Bottom