This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
Hawa ndio viongozi wa Afrika, nchi yake ina matatizo kibao yeye anaponda raha.
BREAKING: Congolese President Tshisekedi Stuck at Budapest Airport Over Ebola Concerns
President Félix Tshisekedi was held up at Budapest Airport after arriving with a delegation to attend the Champions League final...
Serikali ya Cambodia imetoa tangazo linalowaagiza raia wote wa Afrika, wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026, la sivyo watakamatwa na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za uhamiaji.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Idara Kuu ya Uhamiaji...
Wajerumani walifanikisha breed ya GS kutoka mbwa wa kawaida na wolf (mbweha), kwanini sisi waafrika tusitafute breed ya mbwa koko na mbwa mwitu?
Ni aina ya mbwa ambao wako loyal sana kwa wenzao, pia ni wawindaji wasiokata tamaa ila atafaa kww ulinzi kutokana na asili yake ya mwituni.
Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao,
Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
baada
bila
dalili
dar
dar es salaam
dodoma
ila
kiwango
kuandamana
kuendeleza
maendeleo
mapato
mikoa
nchi
oktoba
oktoba 29
pesa
sana
sawa
tena
umuhimu
vyanzo
vyanzo vya mapato
waafrika
zanzibar
zao
TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika.
Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
UBINAFSI
ULAFI
UKANDA
TAMAA
UNYAMA
UMALAYA WA KISIASA.
Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake.
Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua.
Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni...
Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki.
Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii
Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub Saharan Africa)
Kila kabila lilikuwa na culture yake
Hizi narrative kwamba Waafrika walikuwa wanaishi...
Tarehe 25 Machi 2013, baada ya Rais Xi Jinping kuchukua wadhifa wa Urais wa China, alitembelea Afrika kwa mara ya kwanza. Alipohutubia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Nyerere nchini Tanzania, alitoa mara ya kwanza wazo la sera ya China kwa Afrika ya “Ukweli, Matokeo Halisi...
Habari
Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,
Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,
Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu.
Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2...
Hivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour?
Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano?
Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine?
Siku hizi...
Na Sophia Kiyenze
Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa.
Wako watu mashuhuri duniani waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ambayo hutambua mchango wa mtu katika nyanja mbalimbali ikiwemo siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.