de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,062
- 20,013
Enyi wamatumbi acheni kuwa kama nguruwe.
Acheni kuruka ruka kama nyani mkichekana nyuma zenu.
Acheni kupoteza potential zenu mkifanya jambo lile lile kwa miaka 50.
Hamkuumbiwa kufanya kazi kama mashine.
Hamkuumbiwa dharau na u fukara wa kupewa matusi na dhihaka kutoka kwa binadamu wenzenu walio wazidi makablasha.
Hamkuumbiwa utumwa wa kukubali utawala uwaondolee uhuru.
Enyi wamatumbi amkeni kutoka usingizi wa matrix. Acheni kuwa wajinga ilihali nyie tayari ni werevu hata kabla hamjaenda shuleni.
Basi, kama wewe ni mmatumbi mwenye nongwa. Amka uwahi kazini ukaendelea kufanya jambo lile lile kwa miaka 50. Alaf uje uuguze magonjwa nyemelezi kama kisukari, presha na obesity kwa hela ya mafao.
Hii sio sheria though kila mtu ana free will.
Nimemaliza.