Tunaomba vyuo vya Serikali vijengwe mkoa wa Ruvuma pia

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
184
686
Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi!

Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi.

Kuna Top one in, ambacho ni Chuo cha Afya, huko nyuma ilikua hotel.yani hiki chuo, sipendagi hata kukisikia. Halafu kuna hiki St. John, nacho kilifungwa kikafunguliwa. Yaani ni vyuo vya ajabu ajabu tu!!!! Vinafungwa vinafunguliwa vinaleta utata sana, Ujui kama vimesajiliwa.kwanini vifungwe,na kufunguliwa? means havijakidhi vigezo.

Tunaomba chuo kinachohusiana na Biashara, na vyuo vya Afya,vijengwe katika mkoa huu katika wilaya ya (Songea) mana ndio mji mkuu, wa mkoa wa Ruvuma. ikiwezekana vyuo viwe vya serikali.Mkoa umepoa mno! Mkoa upo nyuma kimaendeleo, Mkoa haukui.
 
Huu mkoa haukui upo,Upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua ,wilaya ya Songea imepoa mji uko vile ,vile miaka nenda rudi!!! Of course kuna vyuo lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti,kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimenifanya nikione kama chuo cha magumashi,kuna Top one in chuo cha afya ambako huko nyuma ilikua hotel yani hiki sipendagi ata kukisikia alafu Luna hiki st john nacho kilifungwa kikafunguliwa,yani ni vyuo vya ajabu ajabu tu!!! Tunaomba chuo kinachohusiana na biashara,chuo cha afya ,viwe vya serikali katika mkoa huu wa Ruvuma,umepoa mno!!!!!!!!!!!!!! Mkoa upo nyuma kimaendeleo.
Ruvuma si mkoa mzima CCM mkome
 
= serikali

Back
Top Bottom