vyuo

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority) Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education) Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) IFM , CBE, DIT Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

    Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi. Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano Peter Kibatala John Mallya Dickson Matata Tundu Lissu Peter Madereka...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kujaza vyuo mikoa michache, Ni upendeleo wa wazi kutumia rasilimali za taifa kujenga vyuo mikoa michache huku mikoa mingine hakuna vyuo

    Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k. Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache Dar es...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vyuo vingi vinafanana elimu, shida inakuja wapi kuna baadhi ya vyuo ni nadra kuwakuta wahitimu maofisini?

    System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani. Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto Jambo la kushangaza...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyuo vya Kati vya Afya kuna ufelishaji Wanafunzi kwa makusudi?

    Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical. Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa wanafunzi waliotofautiana nao au waliowatongoza wakawakataa, matatizo binafsi ya Walimu na bifu kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachowafanyia HESLB wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu siyoo uungwana kabisa

    Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyuo gani vya Nje ya Tanzania ni vizuri kwa Kozi ya Afya?

    Wakuu Habari zenu, Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri. Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia. Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  12. Lady ammy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vyuo vinavyotoa kozi fupi za komputa na ada zake

    Habari Wana JF, Ninaomba mnisaidie kwa anayejuwa VYUO VINAVYOTOA SHORT COURSE YA COMPUTER NA ADA ZAKE.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Chuo cha Michezo Malya Kushirikiana na Vyuo Nchini Urusi

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo baina ya nchi hizo. Viongozi hao wamekutana Desemba 3, 2024 katika ofisi za...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  15. J

    JamiiForums Tanzania Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

    Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  17. dogman360

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco .sana sana kazi za mashirika ya kimataifa . Utambuzi wa UNESCO unaonyesha kwamaa chuo kinatoa...
  18. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Kwa Wenye Wanafunzi Wanaotaka Kuanza kidato cha 1 Na Vyuo

    Ndugu Zangu Shule Na Vyuo Mpaka Ufadhili Kuanzia Kidato Cha Kwanza Mpaka Vyuo. Tafadhali Tembea Shule Iliyo Jirani Nawe Elimu Ni Bure,
  19. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

    Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k). Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
Back
Top Bottom