Habari Tanzania!
Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima.
WAZO LA AJIRA
Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
Hello JF...
Nimeona kilio cha wahitimu wetu wa University kuongezewa deni la mkopo.
Hii ipo nchi nyingi duniani.
I understand, deni linafidia na kuwasomesha wengine.
ila ingependeza kama serikali ingejenga colleges ambazo zinatoa course almost similar but at cheaper price,
kiasi kwamba...
Heri ya Mwaka 2021!
Nimetafakari mengi juu ya mwelekeo kiafya katika bara la Africa na changamoto za tafiti pamoja utegemezi wetu kwenye tafiti na ufumbuzi wa matatizo ya Kiafya nje ya Africa.
Maradhi ndio chanzo cha mfumo tiba Africa. Wakati kwingineko Afya Bora ndio chanzo cha mifumo yao ya...
Habari zenu wakuu,
Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni.
Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu...
Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali.
Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.
Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course?
Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa.
Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...
Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile.
Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi...
Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu...
Habari wakuu,
Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
Habari zenu wana jamvi.
Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% .
ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ
Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
Husika na kichwa cha Uzi apo juu.
Kam mfatiliaji wa mambo ya chuo utagundua vyuo vingi vya serikali haswa institute hizi au college gharama za hostel zipo juu sanaa.
Mfano IFM, CBE na TIA gharama zao kwa mwaka ni 450,000 huku vyuo kam Mzumbe, UDSM gharama zao zipo chini sana ni 120,000 kwa...
Wanabodi,
Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Habari za muda huu vijana,
Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu kilichonistaajabisha ni nikukuta application zao ni bure kabisa for certificate, diploma na undergraduate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.