vyuo

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ije na Sera ya kufufua Vyuo vya Ufundi

    Team, Tunaishi kwenye ulimwengu ambao ukosefu wa ajira rasmi umekua tatizo kubwa sana, Tanzania haiwezi kujitenga na ukweli huu. Sasa, kwakuwa Serikali sikivu ya CCM imeua vyuo vya Ufundi na vile vya jamii ni vyema CHADEMA ikaunda na kutamka wazi wazi kuvifufua vyuo hivi. Vyuo hivi baadhi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  3. gunnar andersen

    JamiiForums Tanzania Ni kozi ipi ya afya niombe zaidi?

    Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nikiona wanafunzi wa Sekondari na Vyuo wanaenda shule, naona kama wanaenda kupoteza muda na pesa

    Maana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa, kugawanya, kuzidisha, kusoma na kuandika kiswahili na kingereza, bookeeping inatosha vizuri tu, + kama...
  5. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

    Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo. Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu. Hv...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :Passed nne(D) na kuendelea,wahi haraka kwani nafasi hazitabiriki. fika chuoni hapo au ntafute kwa maelekezo zaid. ====...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha nne kwenda form 5 na vyuo vya ufundi

    Naomba kujua mwanafunzi akichaguliwa direct kwenda Chuo badala ya form 5 je gharama za Ada zinalipwa na serekali wenyew aw mzazi ndio anapaswa kulipiaaa
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Shule na Vyuo vinapaswa kuzingatia ili kuwalinda Wanafunzi dhidi ya maambukizi ya #COVID19

    UTANGULIZI Baada ya Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita watapaswa kurudi shule ili wakajiandae na mitihani yao ya mwisho inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kuanzia Juni 29 mpaka Julai 19, nimeona kuja na mawazo ambayo yatatoa mwongozo kwa namna wanafunzi, walimu na...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa dharura: Vyuo viondoe requirement ya uhudhuriaji darasani kwa wanafunzi

    Kwanza napenda kuishukuru serikali kwa kusikiliza ushauri niliowahi kutoa katika Uzi wangu mmoja wiki kadhaa zilizopita kuhusiana na kufungua taasisi za elimu ila kwa tahadhari. Leo kuna jambo ambalo nadhani linaweza kuwa bado lilikuwa overlooked ila likiangaliwa linaweza kusaidia kuongeza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Majina ya wanafunzi wa vyuo na kidato cha sita watakaoripoti yafikishwe ofisini kwangu tarehe 2/6/2020 saa 4 asubuhi

    Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi. Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Zanzibar kufunguliwa Juni Mosi, Michezo kuanzia tarehe 5 Juni, 2020

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyuo vyote vya elimu ya juu vitafunguliwa na kuendelea na programau zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar. Hayo yameelezwe na Makamo wa pili wa Rais...
  13. Brilucy

    JamiiForums Tanzania VYUO VYA AFYA.

    Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza. Ufafanuzi Tafadhali.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

    Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee. Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri. Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee. Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo. Sehemu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo na mashule jiongezeni, acheni kulala

    Jamani hebu kuweni pro active basi hata kidogo. So far shule na vyuo haijulikani lini vinafunguliwa, kwanini msijiongeze kutumia mifumo ya mawasiliano kufundisha kipindi hichi? Nafahamu baadhi ya shule za msingi English medium wameanza kufundisha watoto kwa kutumia Zoom; you cant imagine...
Back
Top Bottom