Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,478
Ndugu wana CCM,

Ndugu yetu, kijana wetu Emmanuel Polykap Mlelwa hatunae tena. Nimepigiwa simu na baba yake mzazi, Diwani mstaafu wa kata ya Madope-Ludewa kuwa ameuwa na watu wasiojulikana eneo la Kibena.

Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya Kibena leo ni siku ya sita ndiyo umetambuliwa.

Hakika nikiwa kama sehemu ya familia, hakika nipigo kwa familia, pia ni pigo kwa CCM.

Haya ni matukio mabaya sana yanayoendelea kutokea katika nchi yetu na yanatakiwa kukemewa na kila mwenye akili.
 
Watu wasiojulikana wameajiriwa na Mwenyekiti wao Saasa unamlaumu Nani? Wewe Kama unataka hao watu waishe ungana na lisu basi hiyo ndio suruhisho la watu wasiojulikana na Kwa taarifa yako usinyione kuwa uko Salama kisa uko Ccm no hao wanauwa pande zote Mkuu, ukikosoa tu wako na wewe, na usiposifia ukanuna wamekudaka, Mimi naawaambia Magufuli kaharibu saana hiii nchi ila hamsikii na bado Sana
 
Kumbe kweli hadi jambo likufike ndio ujue uchungu wake. Wakati akina Mawazo wanauawa hatukusikia hizi laana. Nchi iliharibika kitambo mkawa mnakejeli watu wanajiteka. Kuna kijana wa UVCCM Mkoa wa Iringa aliomba ruhusa kwa mwenyekiti wa CCM taifa waruhusiwe wavunje watu miguu au wawauwe kabisa. R.I.P. kijana.
 
Kisa KIZURI Sana hiki naomba unipestie chote Kama unacho maana jamaa alibaki alone and no one spoke for his rescue coz he kept quite when it wasn't him
First they came for the socialists, and I did not speak out—
Because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—
Because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
Huyu hapa
IMG-20200926-WA0037.jpg
 
Kumbe kweli hadi jambo likufike ndio ujue uchungu wake. Wakati akina Mawazo wanauawa hatukusikia hizi laana. Nchi iliharibika kitambo mkawa mnakejeli watu wanajiteka. Kuna kijana wa UVCCM Mkoa wa Iringa aliomba ruhusa kwa mwenyekiti wa CCM taifa waruhusiwe wavunje watu miguu au wawauwe kabisa. R.I.P. kijana.
👊
 
Back
Top Bottom