Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course?

Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa.

Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other issues tena kwa C++, why mnadeal na vector na text feature pekee.

Labda sijaeleweka ila tutaelewana mbele kwa mbele ninachoomba Muanze kutumia PYTHON KWENYE HIYO COURSE YA AI na si vinginevyo. Itakuwa poa sana.

Jaribuni kwenda na wakati.
 
Sababu inaweza hii:
Cpp ni language ngumu, syntax zake ngumu ambapo inampa mwanafunzi nafasi ya kujifunza OOP language intensively na seriously.

Kutokea hapo mwanafunzi anaweza kushika language zingine kirahisi sana.

Cpp ni Low level programming language, kwa maana hiyo ni language ambayo ipo karibu zaidi na Machine language . Ndio maana hata drivers nyingi zinakuwa coded kwa cpp.

Language ambazo zipo kama human language (chukulia mfano python au vb) zinamfanya programmer kutoelewa in detail, what is happening behind the source code.

Hayo mawazo yangu 👍
 
C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.

Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
 
Shida siyo C++ shida ni kufundisha AI KWA C++, wakati kuna PYTHON, na wakati huo wanaofundishwa hiyo course ufunfishwa C++ mwanzoni kabisa yaani niseme mwaka wa kwanza C++ na C kwa vyuo vyote ni lazima wanafunzi waanze na hiyo sasa shida ni kuwa AI inaweza fundishwa semester ya 5 Cha ajabu bado watu wanafundishwa kwa C++, Ina maana bado wanafunzi hawafahamu hiyo C++ ?, Walipitaje semester ya juu?, Hapa ndo tunapo potea.
 
You can't introduce AI and Python as a single unit,You introduce AI and implement it using a known PL,things are done algorithmically,not from feelings.

And if you learn it using C++,you can self train yourself in Python very fast and with a lot of ease,In the IT field not everything can be learnt in the classroom,and rarely do you apply directly what you learnt.[/QUOTE]
 
Ina maana bado wanafunzi hawafahamu hiyo C++ ?

so kama kasoma/wanaifaham C++, basi tayari anajua kui deploy C++ kwenye AI ? au kwenye Windows App Dev. ? au kwenye micro-controllers/ micro-processors ?

mimi nai apply C++ vizuri sana kwenye micro-controllers, lakini siwezi kui apply kwenye AI etc, unajua kwanini

uko kwa AI kuna thousands of libraries na APIs ambazo ziko built na C++ na ni ngeni kwako , so lazima uchukue mda ufundishwe/unolewe/ujinoe

nyingi ya libraries za AI ( kama TensorFlow ) zinatengenezwa na pure C++ , na zinafanya kazi kwa IDE za Python pia

C++ ( na mwenzie C ) ziko optimized sana, haina bloats uki compare na Python, ndio maana iko complex,
 
Python ni just the upper layer ya hizo library.

Kama mwalimu anawandaa muendelee kutumia Tools zilizokwisha kuwa developed then mfundishwe kwa Python ila kama mna dream kuwa na your own serious libraries basi C++ haikwepeki.
Screenshot at Dec 22 20-35-41.png
 
Sababu inaweza hii:
Cpp ni language ngumu, syntax zake ngumu ambapo inampa mwanafunzi nafasi ya kujifunza OOP language intensively na seriously....
Hii ni wrong approach.

Ukiendelea hivi utataka kila mtu a code machine language in binary.

Kitu muhimu ni watu kujua wanataka ku specialize wapi. Hata kwenye programming kuna specialization.

Kwa approach hii unaweza kutaka mtu atembee kwa mguu badala ya kupanda gari, kwa sababu kutembea kwa mguu ni kugumu zaidi na kutamfundiaha mtu njia vizuri ili akipata usafiri wowote awe anaijua njia.

Wakati siku hizi kuna magari na GPS.

Moja ya attraction ya Python over C++ ni urahisi wa Python relatively.

Sasa kama kitu Python kinaweza kufanywa kwa Python kirahisi na lines chache za code, kikaeleweka kirahisi zaidi, kikawa na less overheads kwenye runtime, kwa nini tubaki kwenye C++?

Programming has to be practical.

Watu wanaotaka kutumia existing libraries nq kucheza na APIs tu probably hawahitaji C++.

Watu wanaotaka ku design and code a brand new Operating System for example, probably watqhitqji C++.
 
Python ni just the upper layer ya hizo library.
Kama mwalimu anawandaa muendelee kutumia Tools zilizokwisha kuwa developed then mfundishwe kwa Python ila kama mna dream kuwa na your own serious libraries basi C++ haikwepeki.
Hii ubadili isomeke hivi,

Kama mwalimu anawandaa wanafunzi waendelee kutumia Tools zilizokwisha kuwa developed then wafundishwe kwa Python ila kama wana dream kuwa na their own serious libraries basi C++ haikwepeki.

Halafu nakuuliza;
Baada ya wanafunzi/wataalamu kutengeneza libraries zao nani atakayetumia?, Maana kuna zilizotengenezwa na zinafundishwa uko nje kwani zikifundishwa njia zote kuna shida?
 
ukiwa unaadaliwa kuwa mbobezi hauwezi anza fundishwa libraries za watu au frameworks unatakiwa ufundishwe zinafanya je kazi hata unapokua unazitumia unaelewa kinachoendelea under the neath, kwa hiyo hoja sio kutengeneza tu bali nikuelewa kinachoenelea chini ya carpet.

Watumiaji wa libraries hawatakaa wakose kama ume develop kitu ambacho ni kizuri.

mwisho wa siku kwa nijuavyo hakuna chuo wanaanza kufundisha matumizi ya libraries, frameworks e.tc kwa sababu ni vitu vinavyobadilika.
The best way nikumfundisha mtu principles ambazo hazibadiliki kiurahisi, then mtu aloelewa ata catch mwenyewe kwa mda wake hizo tools zinazotumika katika soko kwa mda huo.
 
Uzi kama huu unaweza fikisha 100 replies baada ya miezi 6. Coding ni passion . Na C++ inarahisisha inasaidia kuelewa OOP in details
 
Hii ni wrong approach.

Ukiendelea hivi utataka kila mtu a code machine language in binary.

Kitu muhimu ni watu kujua wanataka ku specialize wapi. Hata kwenye programming kuna specialization.

Kwa approach hii unaweza kutaka mtu atembee kwa mguu badala ya kupanda gari, kwa sababu kutembea kwa mguu ni kugumu zaidi na kutamfundiaha mtu njia vizuri ili akipata usafiri wowote awe anaijua njia.

Wakati siku hizi kuna magari na GPS.

Moja ya attraction ya Python over C++ ni urahisi wa Python relatively.

Sasa kama kitu Python kinaweza kufanywa kwa Python kirahisi na lines chache za code, kikaeleweka kirahisi zaidi, kikawa na less overheads kwenye runtime, kwa nini tubaki kwenye C++?

Programming has to be practical.

Watu wanaotaka kutumia existing libraries nq kucheza na APIs tu probably hawahitaji C++.

Watu wanaotaka ku design and code a brand new Operating System for example, probably watqhitqji C++.

Rahisi ni ngumu pia kwa upande mwingine.

Chukulia mfano mtu anayejifunza mobile app development kwa kutumia FLUTTER,. Hata kama atakuwa mbobezi kiasi gani hawezi kuwa competitive kama aliyejifunza Java au kotlin au c#.

Mwanafunzi anaweza kujifunza lugha iliyorahisishwa sana, na akaielewa vizuri darasani lakini huko anapoenda kwenye real world application akakuta mahitaji ni complex zaidi na angetakiwa kujua zaidi ya kuImport libraries.

Ukijua low level language kama hii unakuwa sio limited katika AI, bali utakuwa muelewa wa OOP language zingine kirahisi sana., Na cpp ni language inayokuwa kwa kasi sana.
 
Mbona Kwa internet programming students are taught HTML and JavaScript badala ya WSYIWYG editors or CMS? in IT it's the what,how and why,huku nje if you want to design a website unatumia CMS,it has the underlying principles of HTML and scripting,you don't use notepad,but you learnt to code on notepad,you must go to the underlying basics to be an expert,with HTML basics you are able to manipulate your CMS,the same applies to AI,if you need your own package or function in Python,it becomes easier to design one and manipulate the existing packages if you have the what,how and why
 
Kitu muhimu ni kujua use case yako.

Usije kutengeneza bomu la nyukia, ili uue nzi.
 
Mbona Kwa internet programming students are taught HTML and JavaScript badala ya WSYIWYG editors or CMS? in IT it's the what,how and why,huku nje if you want to design a website unatumia CMS,it has the underlying principles of HTML and scripting,you don't use notepad,but you learnt to code on notepad,you must go to the underlying basics to be an expert,with HTML basics you are able to manipulate your CMS,the same applies to AI,if you need your own package or function in Python,it becomes easier to design one and manipulate the existing packages if you have the what,how and why
👍👍👍
 
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course?

Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa.

Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other issues tena kwa C++, why mnadeal na vector na text feature pekee.

Labda sijaeleweka ila tutaelewana mbele kwa mbele ninachoomba Muanze kutumia PYTHON KWENYE HIYO COURSE YA AI na si vinginevyo. Itakuwa poa sana.

Jaribuni kwenda na wakati.
Weka course contents kwanza ka ilivyo kwenye syllabus tuone kwanza...
 
Back
Top Bottom