Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,484
74,224
Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
 
Mmh,aseeeh wewe kila intake unaulizia vyuo mkuu.!!! So unasema umemaliza udsm 1984.

Alafu kwa uzoefu wangu jinsi ninavyokufahamu humu.. Una nyuzi kama hz na ushawahi pewa maelezo zaidi.

Wewe sio bure kuna kitu tu
 
Kasome MATI Mtwara, uandhani mimi ni saizi yako.... katu..... Ulivyoona tunajibizana MTwara ukadhani tuko sawa. Ulikuwa unasoma nini pale kama siyo umanamba wa kulima mikorosho, eti sasa umemaliza chuo..
 
Wadau naomba msimjibu huyu jamaa ni msumbufu wa JF.. Kila intake ye anaulizia vyuo.. Kama nasema uongo basi zameni in profile yake mcheck nyuzi zake.
You must be stupid kumbe! Wewe umetoka juzi MATI Mtwara na certificate unakaa humu kubwabwaja bila kutafuta shule ya maana...
 
You must be stupid kumbe! Wewe umetoka juzi MATI Mtwara na certificate unakaa humu kubwabwaja bila kutafuta shule ya maana...
Unazingua wew, kila intake unaulizia vyuo shida nn.. Au miaka yote unatemwa.!!
 
vyuo vyote vya private Tanzania nzima isipokuwa vya serikali ndo walikuwa wanachukua mwezi wa 8
 
Wakuu mwenye link ya website ya Singida School of nursing naomba anipatie maana nahitaji kumfanyia mtu application hapo

Na link za vyuo vingine fani ya Nursing itakuwa msaada mkubwa.

Google sipati website zao sijui shida nini
 
Hata mm nahitaji vyuo ivyo kuvijua Kuna dogo nataka nimfanyie application intake ya March 2021
 
Toka wewe, kama zee lenyewe ndo we basi ni zee jinga.. Kubwa jinga ww lazima nikuchane unazingua.. We toka 2017 unatafuta vyuo tu..
Muulize mama yako kama mimi mjinga atakupa taarifa za ukweli. Atakwambia baba yako mazazi ni nani na huyo unayemuita bab yako leo ni nni. Nimemaliza! Vingine ananituma mama yako ujue..
 
Muulize mama yako kama mimi mjinga atakupa taarifa za ukweli. Atakwambia baba yako mazazi ni nani na huyo unayemuita bab yako leo ni nni. Nimemaliza! Vingine ananituma mama yako ujue..
Kichaaa we toka zako.. .. Me sibishani na watoto wanaotafuta vyuo tena vya kati uanze NTA level 4
 
Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
Inapokuja March intake naamini NACTE hawako makini. Badala ya kutoa orodha ya vyuo vinavyochukua march intake wao wanafungua dirisha na kutuambia tutafute vyuo vyenye nafasi. Vyuo vingi havitangazi au online application systems zao ni shida.
Unaweza ukatumia admission guide ya mwaka jana kuidentify vyuo kwa ujumla halafu ucontact kila chuo kinachokuvutia.
 
asante sana tena sana, I have done so already!
 
Back
Top Bottom