vyombo vya habari

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo. Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea. Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata...
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari huu ndio msimu wa kuvuna pesa za wanasiasa, msiwatangaze bila kulipwa kwanza

    Matangazo ya biashara ni moja ya eneo muhimu kwa vyombo vya habari. Sasa hivi tunaelekea uchaguzi mkuu wanasiasa kutwa watakuwa. Wakiita vyombo vya habari kukitangaza biashara zao za kisiasa wanakogombea. Hilo ni tangazo la biashara. Vyombo vya habari anzeni kuchaji pesa. Wakiwaalika walipe...
  3. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania na COVID-19

    Huwa najiuliza iweje Vyombo vyetu vya Habari vina uwezo wa kuripoti maambukizi na vifo vya COVID-19 nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda na nchi zingine za mabeberu lakini hawawezi hata kidogo kwenda kufanya uchunguzi kwenye mahospitali yetu Je, Tanzania ni zero COVID-19? au vyombo vyetu vya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa
  7. JamiiForums Tanzania Kwanza Online TV yafungiwa miezi 11, kwa kuchapisha taarifa ya Marekani

    Ni kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta 2018 kwa kuchapisha taarifa ya Ubalozi wa Marekani TCRA imesema taarifa hiyo ilijaa upotoshaji na Kwanza TV waliichapisha bila kuzingatia mizania
  8. JamiiForums Tanzania Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mutharika: Amewataka wafuasi wake kupuuza matokeo yanayosambazwa na vyombo vya habari

    Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera. Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

    Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus ambapo watu wachache wamejitokeza Mapema wiki hii, Rais Trump alisema watu takriban Milioni 1 wamenunua tiketi za kampeni hiyo iliyofanyika Tulsa, Oklahoma lakini uwanja unaomudu watu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

    Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji. Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi. Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Tangu tarehe 21/05/2020 nilikuwa nje ya vyombo vya habari hadi leo 05/06/2020. Mnijuze nini kilijiri

    Halo wadau wa JF nimekuwa katika mazingira magumu sana kupata habari kuanzia tarehe 21/5 hadi Leo 05/06/2020. Maisha haya ni mahangaiko na sikuwa na simu wala redio mahali nilikokuwepo. Wadau na familia yangu naombeni msaada wenu nini kilijiri humu nchini na duniani kisiasa, kiuchumi, michezo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Vyombo vya Habari vioneshe wazi vyama wanavyosapoti kama Nchi zilizoendelea?

    Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi. Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Uandishi wa Habari bila Hofu au Upendeleo

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari maarufu kama Siku ya Waandishi wa Habari Duniani ni ni moja ya matukio yaliyopanga, kusimamiwa na kuhamasishwa na Umoja wa Maifa likiwa linaadhimishwa kila mwaka Mei 03 Siku hii inaadhimishwa kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa uhuru wa waandishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…