Vyombo vya Habari Tanzania na COVID-19

Atclkwanza

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
823
998
Huwa najiuliza iweje Vyombo vyetu vya Habari vina uwezo wa kuripoti maambukizi na vifo vya COVID-19 nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda na nchi zingine za mabeberu lakini hawawezi hata kidogo kwenda kufanya uchunguzi kwenye mahospitali yetu

Je, Tanzania ni zero COVID-19? au vyombo vyetu vya habari siyo vya kizalendo leo ITV wanaripoti Kenya Kuna maambukizi 13353 vipi lini mumeenda Muhimbili, Amana na Temeke hospitali mnaogopa nini, mnadandia habari za nchi zingine kwenu mnaufyata.

Shame on you.
 
Back
Top Bottom