Taarifa kwa Vyombo vya habari vs Taarifa kwa Umma

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Ipi imekaa ki weledi zaidi?

Mie naona 'Taarifa kwa Umma' kwa sababu unatumikia umma na unaitaarifu umma, lkn kusema Taarifa kwa Vyombo vya habari naona ni makosa makubwa sana beyond repair (ni kukosekana weledi katika kufahamu who is your boss and who should you report to).

Vipi mtazamo wako ki weledi?
 
Taarifa kwa UMMA live, kwa vyombo vya habari sio live waweza wasipeleke kwa umma
 
Taarifa kwa vyombo vya habari ni taarigfa inayotoka kwa kampuni au taasisi kwenda kwa waandishi wa habari ili waitoe kwa uma kupitia vyombo vya habari ila taarifa kwa uma ni taarifa imayotolewa moja kwa moja kwa wananchi kutoka kwenye kampuni,taasisi au mamlaka za serikali na huwa haifanyiwi uhariri na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom