Kwanini Mahojiano kwenye baadhi ya vyombo vya habari hayavutii?

g dex

Member
Feb 12, 2021
8
4
Habari wanajukwaa!

Let's focus on our tittle ni kwamba tunaona kwa baadhi ya vyombo vya habri wanapofanya vipindi vya mahojiano tu, inakulazimu kubadili channeli maana unakosa kuvutia na unachokiona kwenye televisheni ama kukisikia kwenye redio.

Swali ambalo nakosa majibu rasmi ni nani chanzo kati ya anaehoji na kuhojiwa? Kadhalika ni sabavu zipi zinazopelekea mahojiano hayo kukosa mvuto.

Nilichokigundu ni kidogo tu kwamb kauli anayotoa chanzo (anaehojiwa) kama "Ahsante ndugu mwandishi wa habari" inachangia pia mahojiano kukosa mvuto , hilo ni kwa upande wa anaehojiwa.

Walakini anaehoji nae kutokuuliza maswali tofauti na aliyoyaandaa katika karatasi pia ni chanzo cha kukosa mahojiano yanayovutia.

Labda mngenisaidia hili ili waandishi wanapofanya mahojiano wasi dororeshe kipindi
 
Kuna mahojiano na mazungumzo.

Bongo waandishi wetu huwa wanafanya mazungumzo.

Mahojiano huwa yanafanywa na waandishi ambao ni"watchdogs"

Mazungumzo huwa yanafanywa na waandishi amvao ni "babydogs"
 
Mimi nimeachana na local chanels kabisa kweli zimenishinda niwe wazi tuu!!? Nimehamia BBC,Aljazira ,Blomberg.NHK National geographic nk
In short Tz hakuna Media
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom