vyombo vya habari

  1. Maendeleo madogo katika kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza yamefutwa na baadhi ya Sheria kandamizi

    Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria. ============================...
  2. M

    Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  3. Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  4. Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  5. M

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  6. Wadeni Sugu wa NHC kutangazwa katika Vyombo vya Habari

    Kutokana na kusuasua kulipwa kwa madeni linalowadai wateja wake, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekuja na kampeni iliyobeba mambo nane katika kuhakikisha inakusanya madeni hayo ikiwemo kuwatangaza katika vyombo vya habari. Mpaka sasa shirika hilo linawadai wapangaji wake Sh23 bilioni fedha...
  7. Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  8. D

    SoC03 Uwajibikaji wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia na utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUIMARISHA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA Utangulizi Vyombo vya habari vina jukumu muhimu katika kukuza demokrasia na utawala bora katika jamii. Uwajibikaji wa vyombo vya habari unahusisha jukumu la kutoa taarifa sahihi, kuelimisha umma, na kushughulikia...
  9. SoC03 Kutatua Changamoto za Mikataba Mibovu ya Ajira na Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari Tanzania: Hatua za Kuchukua

    Mada: Kutatua Changamoto za Mikataba Mibovu ya Ajira na Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari Tanzania: Hatua za Kuchukua Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Makala hii inalenga kujadili changamoto za mikataba mibovu ya ajira na sera duni za jinsia katika vyombo vya habari nchini Tanzania...
  10. TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  11. SoC03 Vyombo Vya Habari: Sauti ya Haki za Binadamu

    VYOMBO VYA HABARI: SAUTI YA HAKI ZA BINADAMU Imeandikwana: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu ni matatizo makubwa yanayoikabili dunia leo? Haki za binadamu ni haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali jinsia, rangi, dini, au hali yoyote...
  12. Mawaziri wa Kenya wataka serikali ipunguze Matumizi ya Matangazo kwenye Vyombo vya Habari

    Waziri wa Baraza la Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CS) Eliud Owalo ameashiria mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kupunguza matumizi ya matangazo ya vyombo vya habari. Akibainisha kuwa kusambaza matangazo ya Serikali ni jukumu lake, CS Owalo alihoji ni kwa nini serikali...
  13. R

    Vyombo vya habari na wananchi wapuuza bajeti ya 2023/2024 iliyopitishwa leo 26/06/2023; kwanini haijadiliki?

    Hii bajeti ya kwanza kupitishwa bungeni na jamii nzima kukaa kimya bila kuiweka kwenye agenda ya siku Miaka yote tumezoea siku kama ya leo kunakua na mijadala mizito ya kada mbalimbali lakini mwaka huu hali imekuwa tofauti. Hali hii siyo nzuri kwa mustakabali wa kesho wa nchi yetu. Yawezekana...
  14. P

    SoC03 Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Uhuru wa vyombo vya habari ni haki ya uhuru wa kujieleza, kutafuta, kupokea, na kutoa habari bila kuingiliwa au kubughudhiwa na serikali au vyombo vingine vya mamlaka. Maana yake ni kwamba vyombo vya habari, kama vile magazeti, redio, televisheni, na mitandao ya kijamii, vinapaswa kuwa huru...
  15. Umoja wa Mataifa waitahadharisha Tunisia kuhusu Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied. Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
  16. Uongozi wa yanga uombe zuio mahakamani baadhi ya vyombo vya habari kuandika kuhusu yanga

    Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo Hii italeta nidhamu...
  17. SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
  18. M

    Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza. Ili kuwachanganya...
  19. R

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  20. D

    Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

    Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…