vyeti

  1. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

    Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.) Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

    Wanajamii naomba msaada, Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo vyeti!

    Nijuavyo, kuna namna mbili za kujifunza: ~ Informational learning! ~ Transformational learning! INFORMATIONAL LEARNING huhusisha kufundishwa. Ndiyo mfumo unaotumika shuleni. Lakini TRANSFORMATIONAL LEARNING hutokea kwa jitihada binafsi za mtu. Mara nyingi, matokeo ya maarifa yapatikanayo kwa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

    Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RITA, watu kupata vyeti vyao ni haki ya kimsingi tupunguze usumbufu

    Ni taasisi niliwahi kuiamini sana sana ila nahisi imevamiwa na vijana wasiojua majukumu yao. Vijana wakikupokea wanahaha kama vile wanapewa mshahara kesho mpaka unapenda. Shida unapoanza kupewa tarehe njo siku fulani wapendwa inachosha mbadilike. Jana nilikuwa na ndugu mmoja tunafwatilia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumla ya Askari Polisi 15 watunukiwa Vyeti vya Heshima Mkoani Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
  7. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
  9. A43

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  11. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

    Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi Mungu usiohitaji masters au PHD zikiwepo ni added advatage. Ukitaka kajipime na Kishimba au msukuma...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi

    Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi akiambatana na mkuu wa wilaya ya Kibondo Agrey John Magwaza, leo tarehe 03/10/2023 amekuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kampeni ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5(0-5) ambao umefanyika...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  16. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  17. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye Mfumo wa RITA, 2023/24

    Salaam Wadau wa Elimu, Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani? Nipeni mbinu Please.
  18. Alex Dennie

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

    Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama...
Back
Top Bottom