Msaada: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye Mfumo wa RITA, 2023/24

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
Salaam Wadau wa Elimu,

Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani?

Nipeni mbinu Please.
 
Hii kitu niliwaambia hospital moja hivi wakanimind ila ni ukweli mchungu, suala la teknolojia bongo bado sanaaaaaa, muda mwingi unapotea.
Watake wasitake hakuna haja ya kulumbana nao ila huo ndio ukweli

Serikali imegoma kuwekeza kwa kuwatuma vijana kusoma nje ingawa na lugha ni changamoto ila inafundishika
Yaani wanakimbilia kununua vifaa wanajenga majengo ila huduma mbovu au hakuna kabisa

Machines zimelala maofisini na hawajui kuzitumia au wanazihujumu kisa hawazielewi
 
Back
Top Bottom