vyeti

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tupate vyeti vyetu vya Samia infrastructure bond

    Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
  5. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Vyeti Vinahitajika

    Solution imepatikana, sijui ni jinsi gani naweza ku delete Tangazo hili, Modelators nisaidieni hapa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyeti vya sensa 2022 vimetolewa kwa makarani wa sensa pekee?

    Sensa ya 2022 imeendeshwa na watu mbalimbali. Kwa ngazi za chini kulikuwa na makarani, watu wa maudhui na watu wa TEHAMA. Kumetolewa vyeti vya pongezi lakini ajabu ni kwamba vyeti hivyo ni kwa makarani wa sensa pekee Ni kwa nini serikali imefanya hivyo?
  10. BabaH

    JamiiForums Tanzania IFM yaanza kutoa Vyeti vilivyokuwa vikisubiliwa

    Chuo cha Usimamizi wa Fedha kimetoa tangazo la vyeti vya wahitimu wa mwaka 2023/2024 kuanza kutolewa, ndugu wahitimu wote twendeni tukachukue vyeti vyetu mapema sana.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kazi nyingi serikalini zinahitaji elimu ya form 4 na training ya miezi 6 tu, ndio maana wapo waliochakachua vyeti huwezi kuwagundua

    Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu. Mwanafunzi wa field yupo diploma anaweza kumpokeza kazi mfanyakazi mwenye mwenye masters, ila akiajiriwa elimu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera: Chuo cha Kilimo cha Igabiro chasema Vyeti vya Wahitimu vimetoka na vinapatikana chuo

    Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni takribani miaka miwili hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Kilimo cha Igabiro (Kagera) chakiri Wahitimu hawajapata vyeti kwa miaka miwili, chasema ni suala linalohusu mamlaka za Serikali

    Mkuu wa Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture, Sadoki Stephano ameelezea madai ya kuwa kuna changamoto ya Wanafunzi waliohitimu chuoni hapo kutopata vyeti huu ukielekea kuwa mwaka wa pili. Amesema kilichotokea ni suala la kimfumo ndani ya Mamlaka ya Serikali na linashughulikiwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa kutoa vyeti Zanzibar University

    Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na...
  17. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Ally Idavas ameacha vyeti vyake kwenye gari. Msaada ili avipate

    AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo. Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es Salaam. Nilishukia Feri (Dumila - Morogoro) Begi lake lina; 1. Vyeti Kidato cha Nne - Ujenzi Secondary...
  18. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania KERO Kizungumkuti vyeti vya wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam

    Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

    Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
  20. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu. Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
Back
Top Bottom