Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitafute mwekezaji awasaidie kuprinti vyeti vya wahitimu

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu wameambia vyeti haviwezi kuprintiwa mpaka miezi mitatu hadi mitano toka wamalize chuo.

Waziri wa elimu na viongozi wa chuo hiki kikongwe tatizo lipo wapi? Technology imekuwa sana sasa hivi; mnashindwa nini kuandaa vyeti kama vyuo vingine duniani? Kweli taifa linahitaji miezi mitatu hadi minne kuchapisha cheti?

Au labda ninyi mliosoma hiki chuo mtuambie vyeti vyenu vinaugumu gani kuprinti?

We need reform in our education sector; hawa watu wasioweza kuprinti vyeti kwa wakati unadhani wakipewa taasisi kubwa inayosimamia sekta binafsi wataweza kuendesha? Yawezekana hata sekta nyingine zinabinafsishwa kwa sababu viongozi wasomi awajaelimika......1990 tulikuwa tunasubiri vyeti miezi miwili leo 2023 watu wanakaa siku mia plus
 
harafu hao ndoo wabasema bandari wapewe wazawa waindeshe. tuna wasomi takataka wamejaza wivu ujivuni na ngono na uchawi vichwani mwao.
 
Leo kuna wanafunzi wanamaliza chuo wanaplan kuunganisha vyuo nje ya nchi (hakuna vyeti)

Kuna ajira zinatoka nje ya nchi watu wanakwama kwa sababu chuo kimegoma kutoa cheti

Wapo wahitimu wangeweza kupata kazi na kuanza kurejesha mikopo yao ya Bodi lakini hakuna vyeti

Then unaweza kukuta hata wanafunzi wa masters na Phd nao wakihitimu wanakaa miezi kusubiri vyeti wakati maeneo mengine ukikamilisha taratibu za chuo cheti unachukua .....

Sijui kama hiki chuo kina wanafunzi wa kigeni na kama wapo sijui wanatuonaje sisi wabongo.....roho mbaya imetufanya tushindwe kufikiri sawasawa
 
Nilifuata cheti changu hapo nikaabiwa nilipe efu 20. 10 ya cheti na 10 ya mwanasheria.
Sikuwa na mengi nikalipa.

Baada ya kulipa nikaambiwa nisubiri siku 14 cheti kitakuwa tayari.
Nilitaka kulia. Baadaye nikaenda kupata msosi cafteria.

Hapo nikakutana na jamaa tuliyemaliza naye amechukua cheti. Nilipomweleza ishu ya 14days akanicheka.

Akaniomba 20elfu anifuatie cheti. Kama utani nikampa. Aisee dakika 20 nyingi akaniita nisaini na kuchukua cheti.

Nilishangaa sana sheria ya 1967 bado inatumika leo enzi za computer ya 14 days.
Anyway nakipenda chuo changu.
 
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu wameambia vyeti haviwezi kuprintiwa mpaka miezi mitatu hadi mitano toka wamalize chuo.

Waziri wa elimu na viongozi wa chuo hiki kikongwe tatizo lipo wapi? Technology imekuwa sana sasa hivi; mnashindwa nini kuandaa vyeti kama vyuo vingine duniani? Kweli taifa linahitaji miezi mitatu hadi minne kuchapisha cheti?

Au labda ninyi mliosoma hiki chuo mtuambie vyeti vyenu vinaugumu gani kuprinti?

We need reform in our education sector; hawa watu wasioweza kuprinti vyeti kwa wakati unadhani wakipewa taasisi kubwa inayosimamia sekta binafsi wataweza kuendesha? Yawezekana hata sekta nyingine zinabinafsishwa kwa sababu viongozi wasomi awajaelimika......1990 tulikuwa tunasubiri vyeti miezi miwili leo 2023 watu wanakaa siku mia plus
Kuprint ni kitu kidogo sana, wapate mwekezaji wa kufundisha wanafunzi.
 
Si mlisema tuajiri kwanza waliohitimu miaka ya nyuma sababu wapo kibao mtaani wanachoma mahindi, namna gani mnasaili hao wa jana?
 
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu wameambia vyeti haviwezi kuprintiwa mpaka miezi mitatu hadi mitano toka wamalize chuo.

Waziri wa elimu na viongozi wa chuo hiki kikongwe tatizo lipo wapi? Technology imekuwa sana sasa hivi; mnashindwa nini kuandaa vyeti kama vyuo vingine duniani? Kweli taifa linahitaji miezi mitatu hadi minne kuchapisha cheti?

Au labda ninyi mliosoma hiki chuo mtuambie vyeti vyenu vinaugumu gani kuprinti?

We need reform in our education sector; hawa watu wasioweza kuprinti vyeti kwa wakati unadhani wakipewa taasisi kubwa inayosimamia sekta binafsi wataweza kuendesha? Yawezekana hata sekta nyingine zinabinafsishwa kwa sababu viongozi wasomi awajaelimika......1990 tulikuwa tunasubiri vyeti miezi miwili leo 2023 watu wanakaa siku mia plus
Wanavyojidai sasa waliosoma UDSM,utafikiri wao wanasomea mitaala ya Cambridge kumbe mitaala yetu ileile ya ungaunga-mwana-tusonge!
Elimu ya Tanzania imejaa ubabaishaji mwingi sana!
 
Back
Top Bottom