vyeti

  1. R

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitafute mwekezaji awasaidie kuprinti vyeti vya wahitimu

    Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  4. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Rekodi za SIMBA na kama wenye vyeti vya kuunga unga

    Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF CONFEDERATION CUP ila JINA LIMEBADILIKA kwanini nyie ndugu zangu rekodi zenu mpaka kuderive derive?
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wenye vyeti fake warudishwe kazini haraka kuliko hawa wanaomaliza Chuo sasa

    Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools. Hawa wenye vyeti fake mkumbuke wengi walishaanza kuwa na family. Please please wote warudishwe kazini.
  7. sychellis

    JamiiForums Tanzania Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na cha kuzaliwa

    Habari, Naitwa MGOLE MWITA CHACHA Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na kuzaliwa vyenye jina tajwa hapo juu. CHETI CHA FORM FOUR-MAJANI YA CHAI SEC SCHOOL CHETI CHA FORM SIX-UWEMBA SEC SCHOOL CHETI CHA CHUO-NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT) CHETI CHA KUZALIWA Iwapo ukibahatika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha usumbufu: Baada ya kuitwa kwenye ajira, unasubirishwa kwa kwa takriban mwezi ili vyeti vihakikiwe, bila kuwezeshwa kujikimu!!

    Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  11. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanaona bora kuzurura na vyeti kuliko kufanya biashara ndogo ndogo

    Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye vyeti vya early childhood education

    Habari za saa wakuu, Je, kwa wale wenye vyeti vya early childhood education kwenye mfumo wa tamisemi na nyie mnapata options kama zangu kwenye masomo ya kufundisha maana mimi naandikiwa all primary subjects sasa sijajua nyie wenzangu inaandikaje?
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 11,896 walioondolewa kazini kwa kughushi Vyeti walipwa Tsh. Bilioni 35.2

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliambia Bunge leo kuwa Fedha hizo zimelipwa kutoka katika Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF ikiwa ni agizo la #RaisSamia kutaka wahusika walipwe stahiki zao. Fedha hizo ni sehemu ya michango ya Wafanyakazi 14,516 walioondolewa kwa kukosa sifa baada ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa Vyeti vya Chuo na Leseni za Udereva wa Malori, Mabasi na Taxi mwisho Aprili 30, 2023

    Kamishna Msaidizi wa Polisi Michael Deleli ambae pia ni Mkuu wa Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani amesema ukaguzi huo utahusisha Madereva wenye madaraja C na E ambao wanaendesha Mabasi ya Abiria, Taxi na Magari ya Mizigo. Kwa mujibu wa Kamishna Deleli, zoezi hilo linafanywa Nchini kote...
  15. Ndenzaamo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadili vyeti NACTE

    Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja. Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza apokea vyeti kwa kutambua mchango wake katika jumuiya ya wazazi CCM

    MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tofauti za majina kwenye vyeti vya kitaaluma kutoka mamlaka husika ni usumbufu usio na ulazima

    Kumekuwa na usumbufu usio na ulazima kwa baadhi yetu ambao tumewahi kukutana nao,inapotokea unatakiwa vyeti kwa lengo fulani mfano,fao la kustaafu,fao la uzazi,ajira nk. Usumbufu unaojitokeza ni pale majina yako yanapotofautiana kwenye vyeti na nyaraka mbalimbali. Unakuta mtu unaitwa John...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
Back
Top Bottom