vyeti

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumehitimu CBE Dar lakini mfumo unasoma ‘continue’, tunashindwa kupata vyeti

    Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu. Mimi na wenzangu tumefuatilia sana wanasema wanalifanyia kazi wakidai changamotoipo kwenye mfumo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Urasimu wa kutoa vyeti vya Madereva wanaohuisha leseni zao

    Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni. Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa atunuku Vyeti Wafungwa 170 waliohitimu Mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza vyeti vya masomo

    Naitwa Frank Donald Mwakanosya, nmepoteza vyeti vyangu vyote cha form4,form6,chuo,transcript na cha kuzaliwa. Vyote vilikuwa kwenye bahasha sababu nlitoka kufanya interview
  8. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa mtaani unatosha – usijiuzulu kwa sababu huna vyeti

    Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na elfu 5 ni aibu, kumbe ndiyo daraja lako la kwanza kwenda kwenye uhuru wa kifedha. Biashara...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaweza kuwatumia watu wake wasio na vyeti kwa kuwaita kama analyst/wachambuzi chini ya muongoza kipindi mwenye ithibati

    Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua kufatilia swali la vyeti naona kuna taasisi zitakosa wafanyakazi

    Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tupate vyeti vyetu vya Samia infrastructure bond

    Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
  16. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Vyeti Vinahitajika

    Solution imepatikana, sijui ni jinsi gani naweza ku delete Tangazo hili, Modelators nisaidieni hapa.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  20. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyeti vya sensa 2022 vimetolewa kwa makarani wa sensa pekee?

    Sensa ya 2022 imeendeshwa na watu mbalimbali. Kwa ngazi za chini kulikuwa na makarani, watu wa maudhui na watu wa TEHAMA. Kumetolewa vyeti vya pongezi lakini ajabu ni kwamba vyeti hivyo ni kwa makarani wa sensa pekee Ni kwa nini serikali imefanya hivyo?
Back
Top Bottom