vyama

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu mapigo ya Vyama 14 kuhusu kikosi kazi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi. Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Marekani sasa yanafuata misingi ya vyama vya siasa

    Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanajamvi, tumejaribu kupiga simu zilizoainishwa kwenye tovuti ya Msajili wa vyama vya siasa hazipatikani, tumeandika email hazijibiwi, tafadhali tunaomba mwenye kufahamu ofisi ilipo kama Dodoma au Dar na eneo husika atusaidie pia kama unazo namba za simu mtusaidie. Tunahitaji huduma kutoka kwa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

    Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia, Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao. Leo katika ziara ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano baina ya Chama cha Kikomunisti cha China na vyama mbalimbali vya kisiasa vya Afrika waendelea kupaa juu zaidi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni vyama vya Siasa kuomba ruhusa Polisi?

    Sheria kuhusiana na mikutano inavitaka vyama vya siasa kutoa taarifa polisi, siyo kuomba ruhusa. Kuwaendekeza hawa ndugu tutajikuta mwana si wetu. Kuheshimu sheria hakuwezi kuwa jambo la upande mmoja.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?

    Vyama vya siasa si ajira kwamba ni mahali pa kwenda kujipatia riziki. Vyama vya siasa vina wajibu. Wajibu wake si mdogo. Siasa ni kama mchezo wa mpira kuchukua na kuzitumia lose balls zote Ili kujipatia magoli. Kumekuja kukapita mambo ya tozo. Kumekuja panya road. Kunafukuta ya bima ya afya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?

    Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo. Mfano:- (a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Katiba iliyopo sasa sio ya Demokrasia ya Vyama Vingi

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja. Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa...
  15. MsemaKweli69

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Vyama vya Ushirika katika Kilimo cha Miwa Kilombero

    Habari Wakuu, Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara. Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA. Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya huku kususia chaguzi ya vyama vya siasa hususani CHADEMA?

    Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu. Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini watanzania wanapenda sana vyama vyao kuliko hata nchi?

    Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao. Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama. Hivi vyama...
  19. armmando

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyama vya ushirika kama nyenzo kuu ya maendeleo

    USHIRIKA KAMA NYENZO KUU YA MAENDELEO. Vyama vya ushirika ni msamiati unaokaribia kufutika kabisa kwa kizazi cha sasa. Vyama kama SHIRECU, KCU na KNCU viliweza, kwa wakati wao, kuleta mapinduzi kwenye sekta za kilimo cha mazao ya kibiashara kama pamba na kahawa. Kupuuzwa kwa dhana ya ushirika...
  20. mavya

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo. Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
Back
Top Bottom