vpn

  1. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania TCRA hili la VPN nalo litawashinda kwa sababu hamtaki kuukabili uhalisia wa mambo

    Swali kwa TCRA: Mnajua sababu ya matumizi ya VPN kuwa makubwa nchini? Uhalisia ulivyo: Kwenye teknolojia ukiwabinya sana wananchi pale, wao wanatokea kule kwa sababu ya kukua kwa teknolojia kila siku, kila kitu kina option B. Katika mambo ambayo serikali ilikuwa haijawahi kuwaza basi ni...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania Digital Rights Coalition: Official Statement Against Restriction of VPN Use In Tanzania

    The Tanzania Digital Rights Coalition, a united front of organizations committed to upholding and promoting digital rights, unequivocally condemns the recent statement issued on Friday, 13 October 2023 by the Tanzanian Communication Regulatory Authority (TCRA) restricting the use of Virtual...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania Digital Rights Coalition: Tamko Rasmi Dhidi ya Zuio la Matumizi ya VPN nchini Tanzania

    Tanzania Digital Rights Coalition, umoja wa mashirika yanayojitolea kusimamia na kukuza haki za kidijitali, kwa dhati unakemea taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa Ijumaa, tarehe 13 Oktoba 2023 na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayokataza matumizi VPNs nchini Tanzania...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja. -siku yoyote inafungiwa hakuna uhakika itadumu -Hapa bongo hatuna wabunifu wa kubuni mbinu zao kwa vpn ili hata...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

    Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani Pia, Wabunge wa #Democratic na #Republican kwa pamoja wameridhia kuwa watakaokutwa na hatia wanaweza kupigwa faini hadi Tsh. Bilioni...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

    Nape strikes again. Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha. Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana hiyohiyo ya Waziri wa habari ameufungia kimyakimya mtandao maarufu wa Clubhouse. Mtandao wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. 👇
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Nalia na VPN

    Tangu websites za porn zimepigwa ban hapa bongo VPN ilikua ndo mkombozi wetu wanyonge, naomba nieleweke mimi sio member wa CHAPUTA nilikua napita pita tu uko pornhub, xxnx n.k kureflesh akili na kuongeza mbinu za kivita ninapokua kwenye uwanja wa mapambano. Siku za karibuni hii VPN ninayotumia...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania US Congress calls for the FTC to regulate how VPN companies operate

    US Democrats have urged the FTC (Federal Trade Commission) to crack down on deceptive practices in the Virtual Private Network (VPN) industry, The Verge has reported. In an open letter, Rep. Anna Eshoo (D-CA) and Senator Ron Wyden (D-OR) cited research indicating that three-quarters of the most...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

    Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..?? Msaada tafadhari.
  20. kali linux

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

    Hello bosses....... Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
Back
Top Bottom