vpn

  1. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa busara kufungia Twitter, kujinaisha (criminalise) matumizi ya VPN na bado unawasiliana na wananchi kupitia Twitter?

    Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter. Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA kuurudisha rasmi Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN 'Kimya Kimya' bila kutuomba Radhi ni 'Kutudharau' Watanzania

    Hivi ni kwanini wenye Mamlaka wengi nchini Tanzania neno Samahani ( Naomba Radhi ) Kwenu huwa ni Gumu sana huku mkidhani mkisema itakuwa mnajidhalilisha au kuonekana dhaifu? Yaani kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana ( 2020 ) hadi hii Leo Huduma ya Mtandao wa Twitter ilikuwa haipatikani mpaka...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  4. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hii VPN

    Habari za jion wana tech wa JF. Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona location nipo huku kwetu maeneo fulan Morogoro nyumban kwetu kabisa, sasa najiuliza hii Google ina...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalam wa solar energy

    Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

    Hello bosses Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa baadhi ya VPN providers. Madhara makubwa ya kutumia VPN ni kwamba VPN provider wako anaweza kuona...
  8. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

    Virtual Private Network Hellow Great Thinker Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Raha, Tamu na chungu ya VPN

    VPN bana 🙌🏾😂😂😂 nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea 🇰🇷!!! 📢
  10. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Tumieni VPN kama internet iko slow sana

    Wale wanao pata shida ya Internet mnashauriwa ku download proton VPN then una install na una opt sehemu ya free make kuna kulipia. Fanyeni hivyo CCM walisha slow down internet
  11. I

    JamiiForums Tanzania Four reasons why browsing with Opera’s VPN is safer

    A virtual private network (VPN) is a great way to protect yourself online, especially on public hotspots. Opera is the first and only major browser to have a built-in and unlimited browser VPN that is completely free. How can you be sure that Opera’s VPN is safe? You don’t need any extra...
  12. Castr

    JamiiForums Tanzania Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  13. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu VPN

    VPN NI NINI? VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely. SAWA, SASA HII VPN TUNNEL INAFANYAJE KAZI? VPN tunneling inaunda point-to-point connection...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna VPN extension ya chrome inayoweza niruhusu ku-access spotify?

    Kuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu anisaidie ili niweze kuaccess hizo pages zao.
Back
Top Bottom