vpn

  1. D

    Youtube is banned, uingii bila vpn

    any way Siasa zenu we can't enjoy our silent life. you tube is down leo usiku, na sijui shida nini ila with vpn ipo fresh. siku njema
  2. M

    Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  3. Mung Chris

    Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

    Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
  4. Stuxnet

    Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  5. R

    VPN kwenye desktop inakataa

    Nifanyeje niweze kudownload VPN kwenye desktop computer
  6. Fbn

    Kitu cha kushangaza mnafungia mtandao wa X ila bado mnatumia serikali kutangaza habari zenu kutumia VPN

    Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane. Mbona...
  7. R

    Je, matumizi ya proxy server (VPS) hapa Tz nayo yamewekewa vikwazo kama ilivyo VPN?

    Wakuu naomba kwa anayejua kama kutumia VPS hapa Tanzania ni lazima nipate kibali TCRA kama ilivyo kwa VPN. Nataka nilipie proxy server huko ughaibuni. Nilishatumia miaka ya zamani sielewi kama sheria ya matumizi imebadilika. Shukran
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Hii battle kati ya VPN na mitandao ya kijamii ni balaa, tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana!

    Wakuu, Hivi mnapitia kama nnachopitia mimi? Kwasababu natumia sana Telegram naazimika kutumia VPN ili mambo yaende baada ya kupigwa pini na wajomba. Sasa kazi inaanza ukiwasha VPN unaweza kupata telegram lakini mitandao mingine inakata, ila usiku ukiingia mara nyingine (sio mara zote) Telegram...
  9. toriyama

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  10. Camilo Cienfuegos

    Naombeni mnitajie VPN nzuri ya simu

    Wakuu kwema, Naombeni VPN nzuri, maana wahenga walisema mwenda tezi na omo marejeo ngamani.
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  12. Anonymous77

    VPN free net speed ya 4G

    Wanangu wa JF niwaambie tu hatimae nimenyaka VPN speed ya 4G movie ya MB 800 dakika 10 jina VPN kapuni msije kuchoma..
  13. Mashamba Makubwa Nalima

    Washa VPN, X naona ina kamzozo

    Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
  14. Cute Wife

    PreGE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  15. Kabelwa

    Msaada VPN

    Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
  16. secretarybird

    Ni VPN gani iko on fire kwa sasa nchini?

    Habari ya kutwa mzima great thinkers! Naomba tujuzane VPN ambazo ziko kazini Kwa sasa ili tuendelee kuperuzi mitandaoni. Najua baada ya serikali kupiga ban VPN sasa hivi wahuni watakuwa wamekuja na VPN ambazo ziko faya zaidi ila tatizo ni kwamba wengi wetu hatuzijui tu. Basi kupitia uzi huu...
  17. Brojust

    Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

    Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...
  18. E

    Network yangu bila VPN haifanyi kazi, kuna shida gani?

    Natumia Voda net Network yangu bila VPN haifanyi kazi, kuna shida gani wakuu?
  19. M

    Free vpn for internet

    WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox plz!!!asiweke hadharani watu wabaya wasije wakachomesha tena
  20. D

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
Back
Top Bottom