Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Tik Tok Ban Prison

Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani

Pia, Wabunge wa #Democratic na #Republican kwa pamoja wameridhia kuwa watakaokutwa na hatia wanaweza kupigwa faini hadi Tsh. Bilioni 2.3 au adhabu zote mbili kwa pamoja

Sheria hiyo mpya inalenga kutambua na kupunguza hatari za Usalama wa Taifa zinazohusiana na Teknolojia iliyounganishwa na Nchi zinazopingana na Sera za Usalama wa Mtandao za #Marekani.

=================

Asweeping bill introduced by a group of bipartisan senators earlier this month has caught national attention as Americans await to see whether TikTok has a future in the U.S. and what that might look like for everyday social media users.

Congress appears to be moving unanimously towards the Restricting the Emergence of Security Threats that Risk Information and Communications Technology Act, or RESTRICT Act, which would give broad regulative power to the secretary of commerce over tech produced in China, Cuba, Iran, North Korea, Russia and Venezuela—countries that all have adversarial relations with the U.S.

Last week, TikTok CEO Shou Chew testified in front of lawmakers that TikTok had never received a request from the Chinese government to hand over data on American users and that the company would never comply with one. But Washington remains on alert about the national security threats that the Chinese-owned app poses.

While the RESTRICT Act doesn't cite TikTok or its owner, ByteDance, by name, the senators who introduced the bill have repeatedly pointed to the surveillance fears that the app raises and the legislation has already been referred to as a so-called TikTok ban.

The ban's criminal penalties, which include a fine up to a million dollar and/or imprisonment of up to 20 years, has caused some alarm among the bill's observers, who have questioned whether some TikTok fanatics might face jail time for using a Virtual Private Network (VPN) to get around the ban and access the app.

But a spokesperson for Senator Mark Warner, the bill's sponsor, told Newsweek that it would not apply to individual users.

"Under the terms of the bill, someone must be engaged in 'sabotage or subversion' of communications technology in the U.S., causing 'catastrophic effects' on U.S. critical infrastructure, or 'interfering in, or altering the result' of a federal election in order for criminal penalties to apply," Warner's communications director, Rachel Cohen, said.

"The bill is squarely aimed at companies like Kaspersky, Huawei and TikTok that create systemic risks to the United States' national security, not individual users," she clarified.

While the RESTRICT Act seems widely supported across party lines, there is a small group of progressive critics in Congress, including Representative Alexandria Ocasio-Cortez, who made her first TikTok to address her opposition.

"If we want to make a decision as significant as banning TikTok, and we believe, or someone believes, that there is really important information that the public deserves to know about why such a decision would be justified, that information should be shared," the congresswoman said in the video.

NEWS WEEK
 
Wachina nao wamefungia mitandao mingi sana ya wamarekani, tena kwa muda mrefu.

Hii ni vita ya kibiashara, ya kutafuta nani wa kutawala ulimwengu wa internet
Huku wateja tukuwa sisi tusioshughulisha bongo zetu.

Hebu imagine kuna kiongozi mshamba alitaka kuifungia jamiiforums wakati huko watu wanapigania vitu vyao. Unaifungia jamiiforums unaacha facebook instagram facebook n.k ilikuwa ujinga wa kiwango cha juu
 
Nasema ukweli sijawahi hio app kuiweka kwny simu yangu, hata hio challenge sijui Ni Nini/inafanyikaje.

Only time najua ipo Ni pale ninapotumiwa clip za kutoka kwny huo mtandao kwny my WhatsApp.
Nzuri sana Na zinakuja video viral kwa jinsi unavyozipendelea mfano kama unapenda complications za wanyama basi ukizitazama muda mrefu zinazidi kuna hizonza wanyama kama unapenda comedy zinakuja za comedy..nakushauri download tiktok ni nzuri sana wasanii underground hawawez tupia clip zao zote YouTube nyingi wanaupload tiktok..mfano msanii anaitwa txdulla,ndaro mjeshi,n.k wa Cheka tu wote video zao nyingi tiktok
 
Tiktok inakuletea vitu ambavyo upatikanaji wake ungechukua muda mrefu kukufikia. Kuna watu wanashea ides nzuri ambazo kwa harakaharaka kuzipata ungehitaji kwenda kwenye semina kadhaa ambazo ungetumia fedha nyingi
Nzuri sana Na zinakuja video viral kwa jinsi unavyozipendelea mfano kama unapenda complications za wanyama basi ukizitazama muda mrefu zinazidi kuna hizonza wanyama kama unapenda comedy zinakuja za comedy..nakushauri download tiktok ni nzuri sana wasanii underground hawawez tupia clip zao zote YouTube nyingi wanaupload tiktok..mfano msanii anaitwa txdulla,ndaro mjeshi,n.k wa Cheka tu wote video zao nyingi tiktok
Duh shukrani wazee,nimejifunza kitu.Mostly Nilikua naonaga clip za huko mitandaoni kutoka tiktok ni za watu wanacheka cheka tu.Sikuwahi kujua Kuna serious contents pia.
 
Back
Top Bottom