vodacom

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Vodacom wanajitambua kweli?

    Vodacom mnatuboa sana sisi wateja wenu! Kila siku mnanitumia msg tuma hela Leo kwa m-pesa upate mb 2 za bure!!!! Mara ukivuta zaidi ya sh.20,000/- kutoka bank kwenda m-pesa yako utapata dk. 2 bure za maongezi!!!. Mara ukinunua kifurushi chochote Leo utapata dk,1 bure!! Nk. Sasa haya mambo yenu...
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

    Vodacom (T) imeripoti hasara ya shillingi bilioni 5.06 miezi sita kutoka Septemba 2020 kwa sababu ya adhabu dhidi ya makosa ya zamani yanazohusiana kodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kulingana na maoni ya wachambuzi mbalimbali, ripoti hiyo ya nusu mwaka kwa kipindi hiki imechora picha mbaya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Vodacom M-Pesa kwa kuleta Open API - Fintech developers tutumie fursa

    Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi. Sasa ni wakati wetu...
  4. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania (Ofa bure) Ifahamu ofa ya asubuhi Supa Vodacom

    Kila siku asubuhi kuanzia saa 12 hadi saa 2 ofaa hii inatoa MB 60 bure Gonga *149*01# then chagua namba 1 after that utaona kama hapo kwenye image then chagua 20 supa then utaiona ASUBUHI SUPA
  5. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

    Kwa tulio mdharau Armstem, tunaenda kushuhudia mambo ambayo hatujawahi kuyashudia huko nyuma, ameanza na kampuni ya Airtel na Vodacom yakihusishwa na kushiriki kadhia uvunjaji wa haki za binadam nchini Tanzania. Armstedam tuache tupumue hata kidogo waombe Mungu kuwa wanachotuhumiwa nacho kiwe...
  6. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

    Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
  7. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Vodacom, huu wema umeanza lini? Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa...
  8. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania VodaCom mmezidi

    Jamaa wamekuja na mpya sasa. Ukitaka kuangalia salio M-Pesa kawaida unatozwa shilingi 60. Ukitaka kuangali bure unaambiwa download App yao. Sasa mimi nina simu ya tochi. Je hiyo App ninaiwekaje? Duuhhhh
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua, hivi naweza kutumia Vodacom Mastercard kupokea pesa nje

    Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana. Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tulimkataa Mkenye kuwa Mkurugenzi wa Vodacom lakini tukaruhusu Egyptian!

    Watu weusi wengi tuna jichukia/self hate. Serikali ilimkataa Mkenya kuwa CEO wa Vodacom Tanzania kwa kisingizio tunahitaji mkurugenzi Mtanzania. Cha kushangaza mkurugenzi wa Voda Tanzania sio Mtanzania ni Egyptian. Sasa ni kwanini tumkatalie Mkenya lakini tumruhusu Egyptian!!. Hata wataalamu...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  12. kokudo

    JamiiForums Tanzania Vodacom wanavyonitesa na kuonekana tapeli

    Ndugu Wasalam, Nimekua mteja wa kununua bidhaa mtandaoni mara kwa mara na mzigo wangu wa mwisho nimelipa kwa Mpesa MasterCard. Lakini Vodacom wameng'ang'ania hela yangu niliyoweka Mpesa MasterCard kumbe Card ime expire ila wao wakakubili pesa iingie nilipojaribu kuitoa IMEGOMA. Kinachoniuma...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mteja wa Vodacom sasa anaweza kupokea pesa kutoka nchi za nje akitumiwa kwa njia ya World Remit, Money Gram na Juba express

    Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express. Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
  14. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma ya M-Koba

    Pongezi nyingi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma maridhawa ya M-Koba. Nimefurahi kukuta sasa mtu mwenye laini ya simu ya mtandao wowote anaweza kuwa mwanachama wa M-Koba. Mbona kimyakimya? Hili ni jambo kubwa sana. Lilipaswa kuzinduliwa kwa mashamsham yote. Fursa ya Kuboresha: Wekeni...
  15. E

    JamiiForums Tanzania TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vodacom huu sio ustaarabu

    Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikuwa bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu?. Sijadownload wala live streaming wala sija update...
  17. pecial

    JamiiForums Tanzania Pesa kutoka Safaricom kwenda Vodacom M-Pesa

    Jamani nimetumiwa pesa kutoka Kenya kwa kutumia Safaricom kuja kwa M-Pesa yaani kwenye namba yangu ya Voda ila ni nusu saa sasa haijafika. Kwa wale mliowahi tumiwa pesa kwa safaricom hebu nisaidieni uzoefu, huwa inachukua muda gani kupata pesa?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom na mitandao ya simu wekeni uwezo wa mtu kurudisha pesa aliyoipokea kimakosa

    Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili. Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui. Naomba wazo hili mlifanyie kazi...
  19. yahoo

    JamiiForums Tanzania Tigo, Vodacom ni matapeli wa hali ya juu, hii ni baada ya kununua smart kitochi

    Baada ya kuskia matangazo ya smart kitochi, nikaenda zangu mliman city kushuhudia kitochi kikoje.nikaingia tigo kuzicheki zao then nikaingia voda, lakini nikagundua za Tigo ni bora zaidi ya voda, ingawa voda zinauzwa kwa bei ya chini na ofa zao ni nyingi ,yani wanakupa gb kibao dakika sms fb ya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
Back
Top Bottom