vodacom

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya Vodacom kuchezwa kituo kimoja

    Habari Taarifa ambayo Ni Rasmi Mh.Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Mh.Harrison Mwakyembe Ametangaza kuwa Mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar. Huku Ligi daraja LA kwanza na ligi...
  2. Vodacom Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mnada poa wa Vodacom

    Habari zenu wakuu Kuhusu hii kampeni ya mnada poa ya Vodacom, Je ni kweli? Na kama ni kweli, mbona hatuoni hao washindi wakitangazwa?
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Digital Support Executive at Vodacom

    Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

    Kampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya, Ummy Mwalimu My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania System administrator at Vodacom

    Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Vodacom

    1. Position EHOD: Dar-Coast & Lake(2 posts) Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge...
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze VODACOM kwa kujali 2GB

    Wadau hatimaye VODACOM wamekuwa waungwana. Ujumbe hapo juu unaonesha nimepewa 2GB zitumike ndani ya masaa 24, maana yake mpaka kesho usiku. Asante VODA kwa kujali.
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi. Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Mjadala namna gani tunaweza kuboresha ligi kuu Tanzania Bara( Vodacom Premium league)

    Tuweke pembeni Usimba na Uyanga na tutoe mawazo ili ligi yetu iweze kuwa ligi bora na sio Bora ligi. Mana kumekuwa na malalamiko Mengi katika ligi kuu Tanzania Bara, na Mengi yanatoka kwa mashabiki wa Simba na Yanga huku katika ligi kukiwa na timu zaidi ya Simba na Yanga, Je unafikiri mambo gani...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuweni makini na mitandao yenu

    Asubuhi ya leo tarehe 29.1.2020 nilienda kutoa fedha kwenye kibanda cha M-Pesa. Nilifuata taratibu zote na nikaelezwa kuwa taratibu zimekamilika. Nilisubiri ili nipate ujumbe wa kutoa fedha bila mafanikio. Nilikaa pale kwa muda wa saa moja bila mafanikio na hivyo ikabidi niondoke. Usiku huu saa...
  12. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Question to Vodacom Administration

    1. What is the point of reminding me to register my number every time I make a call while: - Due date is 20th Jan And today is 29! - I registered my number a while ago! Do you real care how I feel to be interrupted every time I make calls? 2. Why are you hiding your direct line to customer...
  13. Chachasteven

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Vodacom kuwa wazi kwa masaa 24 kuanzia tarehe 20

    Mchakato wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole bado ni mgumu sana kwa sababu kadhaa. Moja na kubwa ikiwa ni ya NIDA kushindwa kutoa vitambulisho kwa wakati kulingana na idadi ya watu pamoja na mahitaji na muda uliopangwa. Pamoja na kuwa siku za kukamilisha usajili ziliongezwa, bado kuna...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vodacom yaongoza kwa kutoza gharama kubwa za intaneti kwa wateja

    Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ya robo ya mwaka inayoishia Septemba 2019 zinaonesha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania ndiyo inayoongoza kwa kutoza gharama kubwa zaidi ambapo hutoza TZS 205 kwa megabyte (MB) mteja anayotumia. Wakati Vodacom ikitoza kiwango hicho...
  15. Mau

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

    Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee. Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher? You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
  16. Kididimo

    JamiiForums Tanzania TCRA mulikeni Vodacom, wateja tunapigwa

    Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya: 1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana? 2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double! 3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Songesha ya Vodacom ni nini?

    Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi!
  18. dubu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wengine bodi ya Vodacom Tanzania watangaza kujiuzulu

    Leo Jumatatu Desemba 23, 2019 Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiuzulu kwa wakurugenzi wawili Andries Delport na Till Streichert kuanzia Mei na Juni 2020. Wakurugenzi wawili wa bodi ya kampuni ya Vodacom Tanzania; Andries Delport na Till Streichert wametangaza kujiuzulu. Tangazo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TCRA wafuatilieni Vodacom

    Mimi ni mteja wa Vodacom nikiwa na line yao na pia line yao ya internet. Nimekuwa nikinunua kifurushi chao kila mwezi kwa gharama ya Tshs. 35,000 na kifurushi hiki kwa siku za nyuma nilikuwa ninakitumia kwa mwezi mzima. Nimeendelea kununua kifurushi cha GB10 kwa Tshs. 35,000 ili nikitumie kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    To: Minister of Labor, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office, Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities, P. O Box 2890, Dodoma. 28th November 2019 Dear Sirs, RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE Refer to...
Back
Top Bottom