vodacom

  1. rich1

    JamiiForums Tanzania Vodacom tunaomba mfanye marekebisho kwenye commission

    Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine. Mfano: 1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/= wakala anapata commission ya shs 645 2. Halopesa mteja akitoa 200,000/= wakala anapata shs 1390 3. Pia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania TCRA mmeridhika na wizi wa vifurushi unaofanywa na Vodacom? Kifurushi Cha 1.2GB kinaisha less than 24hrs for normal chatting?

    Makampuni ya simu Uhuru na mamlaka mnazojitwalia za kuwaibia wananchi kwa kutukomoa au kurejesha fedha za hasara mlizopata kipindi Cha nyuma si sahihi. Nimejiunga kifurushi cha wiki 1.2GB cha Vodacom jana saa sita kasoro usiku. Then nikazima data hadi saa nne asubuhi. Nimewasha data since saa...
  3. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Vodacom nitawachukia milele

    Vodacom Tanzania kama mpo humu naomba hizi habari ziwafikie. Mimi ni mteja wenu mkubwa sana. Tena mteja kindaki ndaki. Sina line ya mtandao mwingine wa simu zaidi ya line hii moja iliyonayo. Ndugu zangu wengi wapo mitandao mingine, najitahidi kumudu gharama kuwasiliana nao ili tu nisiachana na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania VODACOM na 4G

    Hivi ni lazima kubadili 3G kwenda 4G nikamuone wakala wenu? Hamuwezi kutupa namba za kubofya tukabadili wenyewe?
  6. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Vodacom kumbe ni kero

    Wakuu habari, Juzi nimebakisha salio la kawaida sh. 2000, leo nataka kujiunga kifurushi wananiambia salio halitoshi, naangalia Kuna sh 1900 tu. Nawapigia Wanasema eti salio limekatwa kwajili ya huduma ya THE BEST wakati sijiungagi na huduma yoyote ya kipuuzi puuzi, yaani hii mitandao ni wezi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

    Tangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa. Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet, speed n ndogo sana...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara. Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni...
  9. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Hivi kampeni ya CHADEMA kututoa line za Vodacom iliishiaga wapi?

    Jamaa wanaongozwaga na emotional mbaya sana. Kina Lema na viongozi wake walianzishaga hii kampeni, cha ajabu haijulikani iliishiaga wapi. CHADEMA kuna umber la viongozi sanaaaa,ni kama kichaka chaajizi, manyang'anyi,watu wa visasi, CHUKI, hilba na kukata Tamaaa Sanaa. CHADEMA wanahitaji...
  10. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aparently Vodacom AND NOT Safaricom mulls part sale of M-Pesa stake

    Vodacom mulls part sale of M-Pesa stake FRIDAY MAY 21 2021 Summary South Africa’s telecoms operator Vodacom Group is considering selling part of its stake in mobile money platform M-Pesa to unlock value running into billions of shillings from the fast-growing service. Chief executive Shameel...
  11. pharao

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie. Je, watumiaji wengine wa Vodacom mnapata simu hizi?

    Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa nimeshapokea simu zenye code hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti. Nahitaji kujua kama na watumiaji wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana...
  12. Dr hyperkid

    JamiiForums Tanzania Vodacom wasalimu amri

    Bado Bei ya GESI Tutaheshimiana tu
  13. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni hii hujuma kwa Watanzania!

    Kwanini kutuma pesa kutoka Voda kwenda Voda inakuwa rahisi na huduma inakuwepo muda wote ila kutuma mtandao tofuti mnasuasua! Leo kuanzaia saa kumi na mbili asubuhi hadi sasa hivi saa nne huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao mwingine hakuna! Tatizo hili sio leo tu bali limekuwa likijirudia mara...
  14. Grena

    JamiiForums Tanzania Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

    Habari zenu wakuu, Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that. Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza...
  15. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania VODACOM wameachia rasmi

    Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima. Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.
  16. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vodacom wamegoma kuhusu mabando

    Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3. Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtandao wa Vodacom ndio wamegoma kurudisha vifurushi katika zile bei za mwanzo au bado tusubirie tu

    Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki. Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimefanya Vodacom wadharau agizo la Serikali kuhusu bei za bando?

    Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TCRA itupieni macho kampuni ya Vodacom kwa kukata fedha za wateja kwa madai mteja kajiunga na huduma fulani wakati si kweli

    TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi. Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
Back
Top Bottom