Asante kwa kuchagua Vodacom, Namba ya Mtumiaji unayempigia haipatikani kwa sasa

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,679
32,988
Huu ujumbe umekuwa unasikika mara nyingi sana hata kama unapiga simu kutoka Tigo kwenda Tigo au Halotel au mtandao mwingine usiohusiana kabisa na Vodacom. Je kuna kuhujumiana kunafanyika humo mitandaoni?
 
kuna code watu sikuiz wanaweka ukipga cm unaweza jibia namba haipo au imekosewa au haipatikan lakn uktuma msg ina deliver
Kuna girl kaniblock. Nimemtongoza mwaka jana sasa akaelekea kukubali majuzi hapa ila akaja na mbinu za kunichuna. Eti anataka mapenzi yetu yawe na uwekezaji kwa vile ana ideas za hela ila hana mtaji. Bahati mbaya mimi sirembi, nikamuuliza baba yako kakosa kukupa mtaji mimi nitoe boom nikupe?

Sasa hivi nikipiga inaita muito mmoja afu inatumika. Baadae ananitext, sasa sijui ndio block au nini.

Namsikilizia nipate hela yangu flani hivi nimnunue. Si wanataka hela, tufanyeje sasa
 
Hao walikua wananidai SONGESHA juzi wananitumia msg "ndugu mteja asante kwa kurejesha deni lako" kuangalia kumbe wamepita na hela yangu Mezani.
Hahaha ulidhani wanasamehe kirahisi rahisi hao jamaa
 
Back
Top Bottom