ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha .
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha .