Vitisho vya Chama cha Walimu Tanzania(CWT) dhidi ya walimu nchini

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Makatibu habari za asubuhi?

Naelewa kuwa CHAKUHAWATA wanatafuta wanachama! Pale ambapo ipo kila Katibu wa wilaya amwandikie DED wake kuhoji kwanini katibu wa CHAKUHAWATA(ngazi husika mf wilaya ya Bukombe), anatumia rasilimali za serikali kwenye shughuli za CHAKUHAWATA yaani muda na mshahara wa serikali!

Kwa sababu ukishakuwa Katibu wa chama cha wafanyakazi unachukua likizo isiyo ma malipo, hao makatibu wanatakiwa kuchukua likizo isiyo na malipo ili watumikie CHAKUHAWATA!

Nawapa siku mbili kote ambapo hao makatibu wapo muaandike barua kwa ma-DED kuhoji hilo! Nakala ya barua hizo wapeni km-or utumishi, km- OR-TAMISEMI, km cwt, ma-RAS na ma-DAS wenu! Barua iwe ya fomart moja nchi nzima!

Nategemea agizo langu ikifika ijumaa mchana barua zote zimefika kwa wahusika! Nawatakia kazi njema

Agizo

wawakilishi wote wa CWT na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa CWT tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu CWT Tanganyika.
Katavi.

Serikali ichukue hatua dhidi ya vitisho hivi hakuna aliye juu ya Sheria. Wala hakuna mwenye haki ya kutisha raia yeyote.
 
CWT ni taasisi ya michongo inayowafilisi Waalimu pesa zao kila mwezi ilihali hakina msaada wowote kwa Waalimu.

Waalimu ni watu wa hovyo ambao hawastuki, bado wanaibiwa tu na hawana cha kufanya.
 
CWT ni taasisi ya michongo inayowafilisi Waalimu pesa zao kila mwezi ilihali hakina msaada wowote kwa Waalimu.

Waalimu ni watu wa hovyo ambao hawastuki, bado wanaibiwa tu na hawana cha kufanya.
Washauri wafanyeje
 
Kwani lazima walimu muwe kwenye hicho chama? Usipokuwa kwenye hicho chama nini kinatokea?? Maana naona kama wawakata Hela tu bila sababu za msingi, sioni kinapowatetea zaidi ya kutetea matumbo yao tu
SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa

Wapowapo tu.

Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
 
SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa

Wapowapo tu.

Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
Huo ujinga wao Sasa mtu unaingiaje kwenye chama hauna maslah nacho
 
CWT ni taasisi ya michongo inayowafilisi Waalimu pesa zao kila mwezi ilihali hakina msaada wowote kwa Waalimu.

Waalimu ni watu wa hovyo ambao hawastuki, bado wanaibiwa tu na hawana cha kufanya.
Safi mkuu nami I lost respect kwa waalimu hawa, maana na wao ni part ya matatizo tuliyokua nao kama nchi, wanapiga kelele now maana hawana Faida tena na politicians, ni kama used toleit paper
 
CWT ni taasisi ya michongo inayowafilisi Waalimu pesa zao kila mwezi ilihali hakina msaada wowote kwa Waalimu.

Waalimu ni watu wa hovyo ambao hawastuki, bado wanaibiwa tu na hawana cha kufanya.
Hujui unachoongea.

Vyama vyote vya wafanyakazi Tanzania vinafanana. Na wote Nia yao ni moja.

Watumishi hawana pa kusemea maana waandaaji wa MEI MOSI ndio hao hao Wanyonyaji.
 
MAKATIBU HABARI ZA ASUBUHI?

NAELEWA KUWA CHAKUHAWATA WANATAFUTA WANACHAMA! PALE AMBAPO IPO KILA KATIBU WA WILAYA AMWANDIKIE DED WAKE KUHOJI KWANINI KATIBU WA CHAKUHAWATA(NGAZI HUSIKA MF WILAYA YA BUKOMBE), ANATUMIA RASILIMALI ZA SERIKALI KWENYE SHUGHULI ZA CHAKUHAWATA YAANI MUDA NA MSHAHARA WA SERIKALI!

KWA SABABU UKISHAKUWA KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI UNACHUKUA LIKIZO ISIYO MA MALIPO, HAO MAKATIBU WANATAKIWA KUCHUKUA LIKIZO ISIYO NA MALIPO ILI WATUMIKIE CHAKUHAWATA!

NAWAPA SIKU MBLILI KOTE AMBAPO HAO MAKATIBU WAPO MUAANDIKE BARUA KWA MA DED KUHOJI HILO! NALAKA YA BARUA HIZO WAPENI KM-OR UTUMISHI, KM- OR TAMISEMI, KM CWT, MA RAS NA MA DAS WENU! BURUA IWE YA FOMART MOJA NCHI NZIMA!

NATEGEMEA AGIZO LANGU IKIFIKA IJUMAA MCHANA BARUA ZOTE ZIMEFIKA KWA WAHUSIKA! NAWATAKIA KAZI NJEMA

AGIZO

wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa CWT tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu CWT Tanganyika.
Katavi.

Serikali ichukue hatua dhidi ya vitisho hivi hakuna aliye juu ya Sheria. Wala hakuna mwenye haki ya kutisha raia yeyote.
Watu ambao wamefuta ujinga na ambao wamepewa jukumu la kufuta Watanzania wote ujinga ndio wao wajinga wa kwanza. Hatuwezi kufika nchi ya maziwa na asali bila kwa hawa wenzetu kubadilika.
 
SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa

Wapowapo tu.

Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
Na kusimamia sensa, chaguzi na kutumika kwenye "chafuzi" kwa malipo ya kutosha kununua mbuzi wawili!!!
 
Kwani lazima walimu muwe kwenye hicho chama? Usipokuwa kwenye hicho chama nini kinatokea?? Maana naona kama wawakata Hela tu bila sababu za msingi, sioni kinapowatetea zaidi ya kutetea matumbo yao tu
Ndugu yangu hakuna mwl aliyejiunga na chama kwa hiari yake Bali waliunganishwa kinguvu bila ridhaa ya mwl
 
CWT ni taasisi ya michongo inayowafilisi Waalimu pesa zao kila mwezi ilihali hakina msaada wowote kwa Waalimu.

Waalimu ni watu wa hovyo ambao hawastuki, bado wanaibiwa tu na hawana cha kufanya.
Na kwenye uchaguzi wanapewa elfu kumi ili wapindue matokeo.
 
Masuala ya Walimu na chama chao tunawaachia wao na CCM wanayoshirikiana nayo kuiweka madarakani kwa dhuluma kila uchaguzi

I feel sorry for teachers Ila nyie wasaliti sana ni mpaka mtakapoamua kuwaonyesha CCM wazi kwamba hamkubaliani na dhuluma hizo ndio mtarudisha heshima kwa jamii.

Kwa sasa pambaneni.
 
Hujui unachoongea.

Vyama vyote vya wafanyakazi Tanzania vinafanana. Na wote Nia yao ni moja.

Watumishi hawana pa kusemea maana waandaaji wa MEI MOSI ndio hao hao Wanyonyaji.
Wewe ndio hujui unachokiongea, haya hebu niambie TUGHE wanaibiwaje na viongozi wake kama ilivyo CWT cha Waalimu?
 
Back
Top Bottom