Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

Alevet

Senior Member
Jan 4, 2014
105
225
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,098
2,000
1. Physics
•Nelkon
•Roger Muncaster
•University Physics
•Understanding Physics
•Chand (zipo 2 ya form 5&6)
•Pamphlets zipo nyingi atachambua yeye atakayoipenda na kuielewa maana zimeandaliwa na Watu tofauti tofauti

2. Chemistry
•Mzumbe organic and inorganic chemistry
•Pamphlet la Mwl anaitwa Mkandawile(limeandikwa kwa mkono), lipo la Organic Chemistry, Physical Chemistry, Inorganic Chemistry
•Pamphlet la Soil chemistry la Issue Boy

3. Advanved Math
•Pure Mathematics (I &II)
•Atafute Mwl mzuri wa namba akishanolewa akaiva hawezi kushindwa kusolve kitabu chochote cha namba, kuna Mwl mmoja anaitwa Mwalami alikuwa na Centre Mchikichini(sijui kama bado yupo) alisifika sana kufundisha hesabu, amtafute akanolewe.

NB: Advance ni juhudi yako hata kama una walimu wazuri wa kukufundisha
 
Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
813
1,000
Kwa advance mathematics
Pure 1 &2
Chandy volume volume x1 & x11
Understanding math
Tranter (shetani mwekundu)
Usisahau review pia ambazo ziko current 1&2
 
Alevet

Senior Member
Jan 4, 2014
105
225
Thank you
1. Physics
•Nelkon
•Roger Muncaster
•University Physics
•Chand (zipo 2 ya form 5&6)
•Pamphlets zipo nyingi atachambua yeye atakayoipenda na kuielewa maana zimeandaliwa na Watu tofauti tofauti

2. Chemistry
•Mzumbe organic and inorganic chemistry
•Pamphlet la Mwl anaitwa Mkandawile(limeandikwa kwa mkono), lipo la Organic Chemistry, Physical Chemistry, Inorganic Chemistry
•Pamphlet la Soil chemistry la Issue Boy

3. Advanved Math
•Pure Mathematics (I &II)
•Atafute Mwl mzuri wa namba akishanolewa akaiva hawezi kushindwa kusolve kitabu chochote cha namba, kuna Mwl mmoja anaitwa Mwalami alikuwa na Centre Mchikichini(sijui kama bado yupo) alisifika sana kufundisha hesabu, amtafute akanolewe.

NB: Advance ni juhudi yako hata kama una walimu wazuri wa kukufundisha
 
Qavor

New Member
Jun 8, 2021
3
45
Best books !!
PHYSCS
1.CHAND 1$2
2 NELKON
3.ABC

CHEMISTRY
1.NGAIZAA...physcal ,orgnc,inorgnc
2CHAND 1$2

MATH
1.chand
2.engineering mathmtcs
3.tranter
4.oxford
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom