Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Vitabu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
774
1,000
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya Aina ya Dell ,all in one , zenye sifa zifuatazo;

Aina ya Dell

Sifa: Hard disk 250GB, ram 2 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei ya ofa ya Aprili 15 2021 ni tzs 295,000 (Laki mbili tisini na tano elfu tu).

April 16 2021, inarudi tzs 350,000 kawaida.


Tupo kariakoo jirani na china plaza

..Piga simu:0713-039875 au 0742-499 177

OFA YA VITABU KWA KILA COMPUTER

Vitabu vitano vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:

1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai ,

2. Kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)

3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)

4. Online Sales (Jinsi ya kuandika tangazo Facebook , likajipost lenyewe Instagram na majibu ya wateja ukayapata Whatsapp)

5. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti

Piga simu:0713-039875 kuwahi ofa hii
WhatsApp Image 2021-04-06 at 20.22.29.jpeg
WhatsApp Image 2021-03-25 at 18.11.06 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-03-25 at 18.11.05.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom