Leo ni siku ya vitabu ulimwenguni

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,881
30,226
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1

"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said

Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.

Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila siku ya Wazanzibari na utamaduni wao.

20210423_194748.jpg


20210423_193253.jpg
 
Chuma cha Reli,
Unajua serikali ya Tanzania iko 20:80.

Hao ishirini ni Waislam waliobakia ni Wengine.

Unaridhia na utawala huu?
 
.mkuu kwamba mzee wangu said hawezi andika hata sentence moja bila kuelezea namna masheik wa kariakoo walivyo saidi hiyo safari ya zanzibar?
Mwana...
Ungekisoma basi kwanza kitabu halafu ueleze uliyoyakuta hapo ndipo tunaweza tukawa na mjadala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom