vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanesco Halmashauri ya Mji Kibaha mnakera sana!

    Wadau kwema, Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8. Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8...
  2. JamiiForums Tanzania Bulgaria: Waziri wa Ulinzi hatarini kufutwa kazi kwa kusita kusema kinachoendelea Ukraine ni vita

    Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa Ulinzi hawezi kutumia neno operesheni badala ya vita". Imeelezwa, Serikali ya Mseto itafanya mkutano...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    1. Andorra Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 . Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi. Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania anasafiri tu hata kama kuna hatari ya vita muda wowote?

    Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

    Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv. Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jini la vita limejamba EU

    Jitahidi usome mwanzo mwisho. Mlipuko wa vita ya Russo-Ukrainian War umeiweka dunia njiapanda katikati ya chagizo linaloendelea la Uviko. Tayari dunia imegawanyika ambapo NATO chini ya US ina ushirika mkubwa dhidi ya Urusi ambayo hadi sasa inaonekana kuwa peke yake. US inaingia kwenye vita...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika ndio atakayepata hasara katika vita kati ya Ukraine na Urusi

    Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo kijiografia yamepakana na urusi lkn kwa makubaliano ya umoja wa mataifa baada vita ya pili ya dunia ni sehem...
  8. JamiiForums Tanzania Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

    Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani. Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi. Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2...
  9. JamiiForums Tanzania Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho. Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wanahalalisha matumizi ya mafuta badala ya kinga (Kondom), usalama wake upoje?

    Umofia kwenu wanajukwaa Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa. Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
  13. JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaki vita Ulaya, tuko tayari kwa mazungumzo

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha vita. Putin ameelezea utayari wa Moscow wa kufanya mazungumzo na Marekani pamoja na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars

    Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

    Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa raia wote wa Marekani waliosalia nchini Ukraine kuondoka nchini humo mara moja kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya kuchukuliwa hatua za kijeshi za Urusi. Bw Biden alisema hatatuma wanajeshi kuwaokoa Wamarekani ikiwa Moscow itavamia Ukraine. Alionya...
  16. JamiiForums Tanzania Utoto wa vita kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Anaandika Dk Yahya Msangi (Phd) West Afrika Kwa kweli Tanzania hakuna vyama vya kuweza kuitoa CCM! Hebu fikiria: Sasa hivi kuanzia BBC, DW, SPACE mjadala ni nani yuko sahihi kuhusu kuachiliwa Mbowe (mtuhumiwa wa ugaidi). Mosi: katika utawala wa sheria na wa kidemokrasia ni mahakama pekee...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Siro ile Vita yako na Ma-RPC waliokuwa wanataka U-IGP iliisha au inaendelea? Nadhani toka adharani uwakemee Tena wajue unawajua

    Mzee Siro ni Moja ya IGP aliyewahi kuongoza jeshi kipindi Kuna mauaji mengi Sana akifutiwa Kwa karibu na Mzee Mahita. Siro amepokea jeshi kipindi Cha saga la Kibiti na Toka hapo mauaji yaliendelea Hadi Sasa. Nakumbuka Kuna kipindi mauaji yalizidi na uhalifu kuongezeka enzi ya Magu akawaita ma...
  18. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  19. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…