Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,645
- 155,015
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.
Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.
Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.