Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).
Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa
Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA
Rais: Tundu Lissu
Makamu wa Rais: John Mnyika
Waziri Mkuu: Heche
Waziri wa Michezo: Sugu
Naibu Waziri wa Michezo: ( )
Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. )
Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( )
Mkurugenzi wa...
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
Iko hivi...
Kuna Mzee mmoja naheshimiana nae Sana, imepita kama muda alienda dukani kwangu kuchukua vifaa Kwa ajili ya kufanya finishing ya apartments zake anazojenga, akachukua vifaa vya 7,280,000/= ikaandikwa deni, sio mara ya kwanza kufanya hivo ni mtu nimeshafanya nae biashara muda mrefu...
Hi👋
Kulingana na ripoti ya utafiti wa mwaka 2011,asilimia 15 ya aina za samaki wa maji baridi duniani wanapatikana ziwa Nyasa ambapo kuna aina ya samaki tofauti zaidi ya 600,huku kukiwa aina ya samaki wa mapambo zaidi ya 400
Wakuu niseme wazi kuwa lengo langu nikujifunza na kufundishwa nipate...
Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme
Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauli na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,
Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.
Ila jambo la...
Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
Ukame umezidi, kila kitu kimekauka.
Leo kidogo kuna "manyunyu", siyo mvua kubwa.
Kwako kukoje?
1. Tanga...Manyunu kidogo. Kumepoa angalau.
2. Dar... imepiga kiasi kidogo...angalau
Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake:
1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu
Yesu alisema:
"Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.
Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.
Mtu ambaye anakasirishwa na vitu...
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa.
Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao...
Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi.
Kwa busara tu...
Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka.
Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu.
Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana.
Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.