Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,911
- 4,116
Ccm wanaendelea kufurahia Mema ya nchi huku shuleni kukiwa hakuna walimu na wanafunzi wanakaa chini bila ya madawati🤔🤔🤔
Wewe mraibu siku hizi hata ukisikia harufu tu ya beer unalewa.Bia chache sana hizo 🐼