vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. Heater

    JamiiForums Tanzania Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
  2. N

    JamiiForums Tanzania RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
  3. Maleven

    JamiiForums Tanzania Unaishi vipi na jirani anayependa dezo na kuombaomba?

    Najua jirani ni ndugu wa karibu ila kuna mengine yamezidi. Jirani alikuwa anakuja kuomba chaji nikaona sio kesi nimenunua nyingine nikamuachia atumie. Bado basi yake imeharibika hana mpango wa kuitengeneza wala kununua nikaona sikesi usumbufu umezidi nichukue nyingine, sasa naona haajiongezi...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nahakiki vipi namba yangu ya NIDA?

    Nimewapigia nimewapata haya nahakiki vipi namba yangu walionitajia? Msaada kwa anaefahamu nisije boronga mambo 😀
  5. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ulimpata vipi huyo uliyenaye sasa?

    Wasalam, Nadhani nainze kutirirka mimi mwenyewe Nadhaani katika wale wanawake ambao wanaongelewa kwamba Laiti mwanamke mwenziye angelimwona basi nayeye angelitamani awe mwanaume ili apate japo kupata machache kati ya yale mengi wanaume wayahisiyo popote pale wanapobahatika kumwona msichana...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni gaidi?

    Unanishawishi vipi ili niweze kuamini kua Mbowe ni gaidi? 1.Aliwahi kulipua wapi na kwa ushahidi upi? 2.Alishawahi kushtakiwa kwa kuua nani nani? 3.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kesi ya kupiga mtu kofi? 4.Alishawahi hata kuiba mali ya mtu? 5.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kumtukana mtu? Kama...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Mzanzibari Kinapatikana vipi?

    Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania. Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mpangilio wa madaraka Kiserikali ukoje kiprotokali?

    Kwa hii nchi yetu kumekuwa na stori nyingi za vijiweni , yaani Nani anariport kwanani Nani ni mkuu wa majeshi, Sasa leo nimekuta mabishano kijiwe Cha drafti, yaani wakuu watano wa hii nchi ya muungano ni Nani namba 1,2,3,4,5, hata Rais Samia aliwahi kusema hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa nchi...
  9. The Boss

    JamiiForums Tanzania Image search inafanyika vipi?

    Mfano nimeona picha ya mtu kwenye Mitandao nataka kujua ni Nani au I'd zake za online ..Una search vipi? Nimewahi sikia Sana kuhusu image search but sijaelewa inafanyaje kazi au kuna apps za kazi hizo?
  10. Travis 1

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  12. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Wasovieti walitoa AK 47 nao Wamarekani wakatoa M16-bunduki hizi zinatofautiana vipi?

    Kwa msaada wa bbc AK-47 na M16 ni bunduki mbili kati ya zinazotumika sana ulimwenguni.Mizozo mingi ya kivita hasa barani Afrika imehusisha matumizi ya bunduki hizi na hata sasa katika sehemu zinazoshuhudia machafuko kama vile nchini Msumbiji,Somalia na Jamhuri ya kati mwa Afrik bunduki hizi zipo...
  13. Molleli

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

    Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani? Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
  14. alumn

    JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi huu umewahi sana

    Mungu amewalinda mko salama. Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama. Uzi Tayari.
  15. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

    Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka. Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria. Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Senzo vipi tena? Plan za kocha Nabi hazitawezekana

    Kocha nabi anataka wachezaji wake wafanye mazoezi kwa siku mbili katika uwanja wa Mkapa. Sasa CEO genius anafeli wapi jamani maana tarehe 7 ni Taifa stars vs Maurtania ina maana tarehe 6 kisheria lazima Maurtania wafanye mazoezi. Tarehe 7 mechi yenyewe, tarehe kumi biashara vs wa djibout ina...
  18. Paula Paul

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
Back
Top Bottom