vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Bwana Misosi akiwa bado underground aliwezaje kuwapata wasanii wakubwa walioonekana katika video yake "Nitoke vipi?"

    Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video. Kwa msanii...
  2. JamiiForums Tanzania Tuambie nikwa vipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni au Utegemezi

    Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi 1. Idadi ya watu milion 67+ 2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65) 3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili Ongezea hoja hizu...
  3. JamiiForums Tanzania Disappointment Pain Hits Different Unakabiliana nayo Vipi?

    Maumivu ni nini? Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heart Kuna aina kuu mbili za maumivu Maumivu ya mwili Mf: Kuungua Kukatwa Kuumwa...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Diwani wa Kariakoo asiye na Ithibati kuwa mtangazaji?

    Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi? Je, sheria inaruhusu hali hiyo? Je, kweli anaweza kuwa fair mbele ya hadhira? Tumeshuhudia interview mbili alizofanya kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena nawaombeni mtumie akili, mnaenda kudili vipi na risasi zitazowapotezea maisha na ulemavu wa maisha?

    Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza? Mnapofika barabarani, mambo hubadilika. Mnafyatuliwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa Iran wanaohusishwa vitani na Iran hatima yao vipi

    Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko.... ============ An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
  8. JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Wadau naomba ushauri wenu. Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo. Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza: Je...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwezi huko vipi, umeonekana?

    Lete habari SUNNI as opposed to SHIA
  11. JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  12. JamiiForums Tanzania Vipi Iran Itashinda Vita Dhidi ya Marekani na Israel? Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/zHhj_gxjcY8 Operation Rooster 53 was a bold Israeli special forces mission on December 26–27, 1969, during the War of Attrition, where commandos stole an advanced Soviet-made P-12 radar system from Ras Ghareb, Egypt. Using CH-53 helicopters, they airlifted the 7-ton radar to...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naweza vipi kurudi kwenye utumishi wa umma iwapo niliacha mwenyewe kazi?

    Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF. Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida. Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?

    Habari za Dominica, Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala? Natanguliza shukran.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mvua huko vipi?

    Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa KUEZEKA/KUPAUA/ROOFING hii changamoto inatatuliwa vipi?

    Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni. Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI. kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari...
  19. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…