vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

    Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
  2. 26 Life

    JamiiForums Tanzania Bei ya vyumba Dodoma mjini imekaa vipi?

    Habari wakuu, Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa, Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A. Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini. Kiwe Self contained, Usalama mkubwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato je mnakubali vipi Biblia iliyoidhinish na Papa e Damasus I askofu Mkuu wa Kanisa katoliki la Rumi 382?

    Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  5. GoLC

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Uganda wanaishi vipi? Huku M7, huku Muhoozi

    Waganda wanahitaji mkombozi kwa kweli. Huyu ni mkuu wa majeshi. Bado kuna Jenerali Ali. Ndio nchi ya Iddi Amini. Nyumbani kwa Konyi. Kabla ya hao alikuwa Kabaka Mutesa. Bila kumsahau Kibwetere. This is UGANDA!
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama USD 1, ni sawa na 1,065,000.00 Iranian Rial , vipi nikinunua IRR 53,250,000.00 kwa USD50 tu kisha nikazihifadhi?

    Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR. Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya Iran. Na ongezeko hili limetokea mapema tangu maandamano yaanze kwahio kama maandamano yakiisha...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na ndugu waliokuzonga baada ya kupata ajira

    Wale wa kishua wanaweza wasinielewe sana. Ila wale wanaotoka familia za hali duni kama mimi mtanielewa. Ukishapata ajira rasmi hasa serikali ndugu huja kama manyingu kutaka misaada. Hiyo inakuwa kabla hata hujajipanga vizuri bado unajitafuta. Sijui wewe ulikabiliana nao vipi. Kwangu baada ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh Vipi? Mpaka sasa nmeshindwa mwelewa kabisa

    Hivi anajielewa kweli?
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri. Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
  11. ankol

    JamiiForums Tanzania Serikali inatweet vipi katika mitandao iliyoifungia?

    Ni kuuliza tu si kwa ubaya. Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu. Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini. Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vipi kikosi chetu kimeshalamba bahasha ya Mfalme ili tuuze match Jumapili

    Mwenye taarifa sahihi atujuze. Kama kikosi kimeshalamba bahasha za dolari kutoka kwa Mfalme ili tuuze match Jumapili atujuze.
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

    Nina miadi na mke wa mtu leo (date) ila sijui namna ya kuhandle situation. Wajuzi nisaidieni.
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Wapo JamiiForums toka 2005 Mimi nipo darasa la 5 lakini ukiangalia post zao ni kutukana na kukejeli viongozi vipi hamchoki tu

    Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili. Nashangaa kuona mtu yupo jukwaani toka 2005 wakati mm nikiwa darasa la 5 lakini post zake zote ni kutukana na kukejeri viongozi...
  15. mamy cute

    JamiiForums Tanzania SGR Leo vipi watu kituoni kuanzia asubuh mpaka sasa

    Na hamna tangazo na wala hamsemi shida ni nini?
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dini zote zimeletwa tu, lakini ya hawa wenzetu sijui imeletwa vipi?

    Yani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

    1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
Back
Top Bottom