Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
108,996
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa.

GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe / Wampaishe.

GENTAMYCINE najua kuwa kwa sasa Kipa Aishi Manula kwa nguvu yake Kubwa ya Ushawishi ndani ya Kikosi cha Simba SC anashirikiana na Makipa Wenzake wazawa ( hasa Salim na Ferouz ) pamoja na Wachezaji wa ndani ili Kumchomesha Kipa wangu bora Ayub na hata kumuendea kwa Mganga wa Kienyeji ili Kumroga na asiwe na Ufanisi wake mkubwa unaowazidi Wote walioko.

GENTAMYCINE najua kuna baadhi ya Mashabiki wa Simba SC ( hasa Wanachama wa Matawi ) kwa Makusudi wanatumika na Kipa Aishi Manula Mwenyewe na Viongozi kadhaa wa Simba SC ili kila wakienda Uwanjani wawe Wanamshambulia Kipa Ayub na kuonyesha kuwa hafai na haaminiki ili wapate Sapoti ya Mashabiki Wapumbavu wanaowaamini na waanze kumuimba Kipa Aishi Manula ambaye Kiufundi na kwa ninavyomjua pamoja na Mapungufu yake ya Kimchezo na ya Nje ya Uwanja ( ya Rushwa na Kutumika na Maadui zetu ) Mimi GENTAMYCINE simkubali kwa 100% Kipa Aishi Manula.

GENTAMYCINE ambaye si tu kwamba najua Kuuchambua Mpira bali pia nimeucheza na kukiwasha vile vile kwa Levels zote za Kimashindano ( siyo Ligi Kuu ) kwa 100% sikubaliani na huu Upumbavu ambao nimemsikia Kocha aliyekalia Kuti Kavu ila kwa sasa mnafichwa tu kutokana na Matokeo mazuri ya Misaada ya Marefa wa Kike Roberto Oliveira juu ya anachotaka Kukifanya.

Nimemsikia Kocha Roberto Oliveira akisema kuwa Weekend hii anapanga Kumjaribu Kipa Aishi Manula katika Mechi ya Kirafiki ili kama akimuona yuko Fiti basi aweze Kumtumia katika Mechi Kubwa, Muhimu na ya Kihistoria ya tarehe 20 Oktoba, 2023 dhidi ya National Al Ahly SC ya Misri katika Kombe Jipya na la Kitajiri la African Football League ( AFL )

Kiufundi na kwa wale Wenzangu tuliopitia Kozi za awali za Ukocha wa Soka na kupitia Mafunzo mafupi ya Sports Science mtakubaliana nami 100% kuwa Mchezaji yoyote aliyekaa Benchi ( hasa kutokana na Majeraha makubwa ) akirejea Kikosini anatakiwa apate momentum waliyonayo Wenzake na Kuingia Uwanjani Kimashindano baada ya Wiki Tatu au Nne.

Kipa Aishi Manula tokea arejee rasmi Kikosini na kuanza Mazoezi ya Uwanjani na Wenzake hajamaliza hata Wiki Moja kwanini Kocha Mkuu Roberto Oliveira analazimishwa / anashinikizwa amtumie katika hiyo Mechi Kubwa na ya Kihistoria ijayo?

Na kama Viongozi wa Simba SC hawawaamini Makipa walioko nani aliwazuia Wasisajili Makipa mahiri? Kwanini waliwabakisha hawa Walioko ambao hawaaminiki Kwao?

Taarifa za ndani nilizonazo GENTAMYCINE ni kwamba Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira analazimishwa aanze Kumtumia Kipa Aishi Manula kuanzia Mechi ya AFL dhidi ya Al Ahly SC ili walio nyuma yake wapate 10% kutoka katika Posho zake na Mshahara wake.

Pia analazimishwa Kucheza wamtengenezee Profile ya Heshima kuwa Kipa Mzawa wa Kitanzania Kucheza Michuano hiyo mipya na Wampaishe iwe rahisi pia Kwake kuitwa kwa haraka katika Kikosi cha Taifa Stars.

Lakini pia analazimishwa acheze / apangwe ili wamuandae mapema kwa Dar es Salaam and Tanzania Derby ya tarehe 5 Novemba, 2023 wakiamini atasaidia tusifungwe na Yanga SC wakati GENTAMYCINE nina Taarifa za ndani kabisa kuwa yale Mateso yote ya Kufungwa na Yanga SC huko nyuma yalitokana na Yeye ( Kipa Aishi Manula ) kuwa Duka ( Muuza Mechi ) na hakuna Mtu wa Mpira asiyelijua hili.

Najua hii Habari mtashtuka nimeijuaje ila GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira na hata wa Makipa na Yule Mburundi wa Viungo wote wamesema kuwa Kipa anayefaa kuwa ni namba moja na wanaowakubali ni Ayub na Abel huku wakisema Kiufundi wanamzidi mbali sana Kipa Mnafiki, Mzee wa Ndumba na Duka Aishi Manula.

GENTAMYCINE namalizia kwa kusema nimemtizama Kipa Ayub ( tena Kiufundi ) na kugundua kuwa licha ya Yeye kuwa Mahiri langoni ( na namkubali kweli kweli ) kitu pekee ambacho kwa sasa nimekiona ndicho kinamgharimu ni adaptation tu ya Soka la Tanzania na hata Mazingira huku akihitaji Ushirikiano mkubwa kutoka kwa Wachezaji ( hasa Mabeki wake ) na hili likikamilika Kwake siioni ni wapi Kipa Mnafiki, Mzee wa Ndumba na Duka Aishi Manula atamtoa langoni na kuchukua namba yake.

Nina Imani Kubwa na Kipa Ayubu.

Nimemaliza.
 
UTOTO Raha sana

Prince Luanda aliandika

"Mtoa mada mpuuzi forever".
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Kama alionao Aliyekuzaa.

Aliandika TUKANA UONE

"Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake"

"TUKANA UONE"
 
Tokea Uachike kwa Bwana / Basha wako na umpate huyu mpya uliyemtaja Kimahaba hapa umekuwa Mpumbavu ( Fool ) sana. Pambana na hali yako tafadhali sawa?
 
Kama unataka tuamini kelele za baadhi ya Wanachama katika matawi ya SSC pamoja na Wachambuzi na waandishi wa habari za michezo, ni rushwa kutoka kwa Aishi Manula.

Je, wewe kumpigia debe Ayoub huku ukimponda mwenzie siyo propaganda na unalipwa kwa ajili hiyo?

Wanaowafahamu zaidi makipa ni makocha wao, wakiongozwa na Mtaalam Dani Cadena. Na ukweli ni kuwa umahiri wa kipa huwa haujifichi, Ayoub anafanya makosa mengi sana.
 
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa.

GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe / Wampaishe.

GENTAMYCINE najua kuwa kwa sasa Kipa Aishi Manula kwa nguvu yake Kubwa ya Ushawishi ndani ya Kikosi cha Simba SC anashirikiana na Makipa Wenzake wazawa ( hasa Salim na Ferouz ) pamoja na Wachezaji wa ndani ili Kumchomesha Kipa wangu bora Ayub na hata kumuendea kwa Mganga wa Kienyeji ili Kumroga na asiwe na Ufanisi wake mkubwa unaowazidi Wote walioko.

GENTAMYCINE najua kuna baadhi ya Mashabiki wa Simba SC ( hasa Wanachama wa Matawi ) kwa Makusudi wanatumika na Kipa Aishi Manula Mwenyewe na Viongozi kadhaa wa Simba SC ili kila wakienda Uwanjani wawe Wanamshambulia Kipa Ayub na kuonyesha kuwa hafai na haaminiki ili wapate Sapoti ya Mashabiki Wapumbavu wanaowaamini na waanze kumuimba Kipa Aishi Manula ambaye Kiufundi na kwa ninavyomjua pamoja na Mapungufu yake ya Kimchezo na ya Nje ya Uwanja ( ya Rushwa na Kutumika na Maadui zetu ) Mimi GENTAMYCINE simkubali kwa 100% Kipa Aishi Manula.

GENTAMYCINE ambaye si tu kwamba najua Kuuchambua Mpira bali pia nimeucheza na kukiwasha vile vile kwa Levels zote za Kimashindano ( siyo Ligi Kuu ) kwa 100% sikubaliani na huu Upumbavu ambao nimemsikia Kocha aliyekalia Kuti Kavu ila kwa sasa mnafichwa tu kutokana na Matokeo mazuri ya Misaada ya Marefa wa Kike Roberto Oliveira juu ya anachotaka Kukifanya.

Nimemsikia Kocha Roberto Oliveira akisema kuwa Weekend hii anapanga Kumjaribu Kipa Aishi Manula katika Mechi ya Kirafiki ili kama akimuona yuko Fiti basi aweze Kumtumia katika Mechi Kubwa, Muhimu na ya Kihistoria ya tarehe 20 Oktoba, 2023 dhidi ya National Al Ahly SC ya Misri katika Kombe Jipya na la Kitajiri la African Football League ( AFL )

Kiufundi na kwa wale Wenzangu tuliopitia Kozi za awali za Ukocha wa Soka na kupitia Mafunzo mafupi ya Sports Science mtakubaliana nami 100% kuwa Mchezaji yoyote aliyekaa Benchi ( hasa kutokana na Majeraha makubwa ) akirejea Kikosini anatakiwa apate momentum waliyonayo Wenzake na Kuingia Uwanjani Kimashindano baada ya Wiki Tatu au Nne.

Kipa Aishi Manula tokea arejee rasmi Kikosini na kuanza Mazoezi ya Uwanjani na Wenzake hajamaliza hata Wiki Moja kwanini Kocha Mkuu Roberto Oliveira analazimishwa / anashinikizwa amtumie katika hiyo Mechi Kubwa na ya Kihistoria ijayo?

Na kama Viongozi wa Simba SC hawawaamini Makipa walioko nani aliwazuia Wasisajili Makipa mahiri? Kwanini waliwabakisha hawa Walioko ambao hawaaminiki Kwao?

Taarifa za ndani nilizonazo GENTAMYCINE ni kwamba Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira analazimishwa aanze Kumtumia Kipa Aishi Manula kuanzia Mechi ya AFL dhidi ya Al Ahly SC ili walio nyuma yake wapate 10% kutoka katika Posho zake na Mshahara wake.

Pia analazimishwa Kucheza wamtengenezee Profile ya Heshima kuwa Kipa Mzawa wa Kitanzania Kucheza Michuano hiyo mipya na Wampaishe iwe rahisi pia Kwake kuitwa kwa haraka katika Kikosi cha Taifa Stars.

Lakini pia analazimishwa acheze / apangwe ili wamuandae mapema kwa Dar es Salaam and Tanzania Derby ya tarehe 5 Novemba, 2023 wakiamini atasaidia tusifungwe na Yanga SC wakati GENTAMYCINE nina Taarifa za ndani kabisa kuwa yale Mateso yote ya Kufungwa na Yanga SC huko nyuma yalitokana na Yeye ( Kipa Aishi Manula ) kuwa Duka ( Muuza Mechi ) na hakuna Mtu wa Mpira asiyelijua hili.

Najua hii Habari mtashtuka nimeijuaje ila GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira na hata wa Makipa na Yule Mburundi wa Viungo wote wamesema kuwa Kipa anayefaa kuwa ni namba moja na wanaowakubali ni Ayub na Abel huku wakisema Kiufundi wanamzidi mbali sana Kipa Mnafiki, Mzee wa Ndumba na Duka Aishi Manula.

GENTAMYCINE namalizia kwa kusema nimemtizama Kipa Ayub ( tena Kiufundi ) na kugundua kuwa licha ya Yeye kuwa Mahiri langoni ( na namkubali kweli kweli ) kitu pekee ambacho kwa sasa nimekiona ndicho kinamgharimu ni adaptation tu ya Soka la Tanzania na hata Mazingira huku akihitaji Ushirikiano mkubwa kutoka kwa Wachezaji ( hasa Mabeki wake ) na hili likikamilika Kwake siioni ni wapi Kipa Mnafiki, Mzee wa Ndumba na Duka Aishi Manula atamtoa langoni na kuchukua namba yake.

Nina Imani Kubwa na Kipa Ayubu.

Nimemaliza.
Naunga mkono hoja
 
Toka Manula amesajiliwa na Simba tumefungwa mechi mbili tu alizokaa Langoni.
 
Back
Top Bottom