Totozee
Member
- Oct 15, 2018
- 98
- 69
Siku hizi mjini Kuna kasumba ya viongozi wetu wanasiasa, kazi Yao ni kukera wananchi. Nasikitiswa na hivyo vitendo wanavyovifanya.
Kuna serikali ya awamu ya Nne, Tano na Sita. Asilimia 98 ya watendaji ni wale wale, yaani ndio waliotenda hizo awamu zote. Lakini kinachosikitishwa ni kuwa madudu Yao waliyoyatenda wanajificha na kusema ni awamu fulani, na mazuri ya awamu zilizopita wanaipongeza awamu iliyopo.
1. Hivi karibuni serikali imepokea ndege Kadhaa ambazo ziliagizwa awamu ya Tano, lakini Chawa wanaisifu awamu ya Sita.
2. Kuna hospitali ya Kanda Kule Mtwara, Awamu ya Tano ilianza ujenzi na iliacha ujenzi ukiwa asilimia 95.3 lakini siku ya ufunguzi wote waliisifu awamu ya Sita.
Nashangaa mabaya yote mnamtaja Marehemu, badilikeni basi. Mnatia aibu sana