viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa viongozi wetu: Msisahau kuwaomba Viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kumwomba Mungu aendelee kuiponya nchi yetu dhidi ya Corona

    Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
  2. JamiiForums Tanzania G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapewe semina elekezi watambue umuhimu wa viapo vyao

    Kati ya matatizo tunayoyaona leo kwa wateule wanaopewa nafasi za uongozi nchini mwetu ni kushidwa kuelewa majukumu ya kazi zao mpya, maadili na nini maana ya viapo vyao kabla ya kuingia ofisini. Kiongozi yeyote anapoapa atambue hiyo nafasi si yake tena, bali hiyo ni nafasi ya Mwenyezi Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Makundi ya mziki na viongozi

    Tuanze 1.EAST COAST Wametoa mbunge FA 2. Hard blasters Walitoa mbunge Prof Jay 3.weusi Wametoa DC Nick wapili 4. Daz nundaz Wametoa mateja mnawajua 5.Tmk Wametoa diwani mkubwa fela 6. WCB Wametoa mbunge Babu tale 7. Tip top connection Wametoa mapunda mnawajua Ebu endelea wewe hapo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi waliopigania Uhuru wa Afrika, wapumzike kwa amani

    Ninaona Samora Matchel alimuiga Fidel Castro kuanzia mavazi. Dhamira yake ilikua kuifanya Msumbiji kuwa kama Cuba.
  8. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  9. JamiiForums Tanzania Utitiri wa viongozi serikali una tija gani kwa Taifa?

    Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema, viongozi wenu pia wametokea CCM

    Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya. Pili, mbona nyie mlimpa ukatibu mkuu Dk Slaa toka CCM, mkampa Lowassa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ili hali wapo...
  11. JamiiForums Tanzania Waliosaidia viongozi wastaafu kudukuliwa walipata faida gani?

    Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake. Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama...
  12. JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaruhusu vipi viongozi wa kisiasa kuongoza Misikiti yenu?

    Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata. Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti. Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Drama za viongozi wa Yanga

    Hawa watu wana mbinu nyingi sana za ku-survive katika mazingira yoyote kwenye nafasi zao. Sakata la wazee wa Yanga unaeweza kufikiri viongozi hawajui. La hasha! Wanafahamu sana na ukweli inaonesha anayelengwa hapo ni GSM. Viongozi hawamtaki na kwa vile wameshamwona Manji, wanatengeneza fitna...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanasiasa, Mawaziri na Viongozi

    Inafahamika kabisa kuna matukio ya KITAIFA NA KIKAMPENI. Zipo protocol za namna ya kuanza hotuba mbele ya viongozi wa kitaifa na kimataifa. Ndugu WANASIASA, MAWAZIRI NA WATEULE WA RAIS. Katika matukio mengi yakitaifa mmekuwa mnaanza NA "SWAGA"ambazo zinaboa nazinavunja heshima yakiongozi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Media kwa Viongozi Wateule Serikalini

    Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao. Hawa ni wafuatao: 1. Lengai ole Sabaya -...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wawe Mfano wa Uzalendo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Niende kwenye mada husika hapo juu. Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu...
  17. JamiiForums Tanzania EAC inatatuaje mgogoro wa viongozi kung’ang'ania madarakani?

    Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka? Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
  18. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa kumbukumbu za viongozi ni utamaduni wa dunia nzima

  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

    Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa. Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite. Kumbuka uongozi siyo suala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…