Inafahamika kabisa kuna matukio ya KITAIFA NA KIKAMPENI.
Zipo protocol za namna ya kuanza hotuba mbele ya viongozi wa kitaifa na kimataifa.
Ndugu WANASIASA, MAWAZIRI NA WATEULE WA RAIS. Katika matukio mengi yakitaifa mmekuwa mnaanza NA "SWAGA"ambazo zinaboa nazinavunja heshima yakiongozi MAALUM. Wewe nikiongozi unaanza kumpamba Rais huku ukijua kabisa wewe ni mteule wake.
Naomba muwatumie wataalamu wenu maofisini hasa idara ya habari kila ofisi wapo wanaojua namna yakuongea na halaiki.
Mfano; Wizara ya afya msaidieni awe na utulivu anapoongea,apunguze SWAGA kama anafundisha watoto. Mara utasikia WANAUME MPO? Hiyo ndiyo salaam yakuanza kwenye hotuba.Tukio la kitaifa linaheshima zake.SWAGA!SWAGA!