Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.
Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali ya Samia imekopa.
2. Rais amekopa.
Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi.
1. Nchi imekopa.
Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea
Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema...
Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu...
Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima.
Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla.
Katiba ni kama business plan.
Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na teknolojia kubwa. Tukishndwa kuwa na maono mazuri na Taifa letu miaka mingi ijayo tutabaki nyuma ya...
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita.
Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo lililotatizika kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, hatua hiyo imefikiwa baada...
Baba anajitolea kulinda Taifa, anafukuzwa kazi nakurejea Uraini. Anatafuta kazi yakumwezesha kulisha familia, Kwa kuwa hakufanikiwa kusoma sana na kwa kuzingatia ugumu wa Maisha uliopo na hili asiibe anaamua kuwa mlinzi anayelipwa ujira mdogo lengo alishe familia na kuepuka kuwa mwalifu...
Kama ulishawahi kutafuta kazi na kupata kwa maana ya kutuma maombi kwanza kujipima hata kama unastahili tu kutuma maombi, kuwa short listed kuitwa Interview ya kwanza na ya pili na mwishowe kushinda na kupata kazi, basi utaelewa ni jinsi gani ilivyo ngumu kupata kazi na nini ufanye ili...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa. Katika taifa ambalo linaishi kwa mikopo kama hili la Tanzania tuendelee kuwajengea nyumba viongozi...
GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka.
Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na GPSA.
Hii Wakala ni mhimili muhimu sana katika gurudumu la maendeleo hapa nchi ila Lina mauzauza...
Hello JF
Away from Ndugai news.
Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia?
Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu...
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili
Spika asingeweza kutekeleza majukumu yake kwa fyongo yake na dhalili aliyopata Fyongo si alichosema ni kile alichofanya baada ya kusema...
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake...
Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.