MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,649
- 48,411
Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar na Tanzania bara, ambapo kila siku kuna kero za kila aina, kamuungano kenyewe kadogo lakini pasua kichwa, sasa lingekua limuungano la EAC jameni si ndio tungevurugana mpaka basi.
Leo hii Mtanzania bara na mgeni wote wanapewa masharti sawia wakiwekeza Zanzibar, kwamba mbara haruhusiwi kumiliki ardhi kisiwani kwa asilimia 100%
Leo hii Mtanzania bara na mgeni wote wanapewa masharti sawia wakiwekeza Zanzibar, kwamba mbara haruhusiwi kumiliki ardhi kisiwani kwa asilimia 100%