Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu?
Tuna...
Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika.
Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa na maoni tofauti. Ilikuwa ni kujulikana kwamba bado aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kwamba...
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
"...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5."
"...INASIKITISHA sana!"
"...hata mimi naona aibu ya kwanini yule aliachiwa akafikia ngazi ya uongozi aliyonayo." Chanzo Dar 24.
Polepole.
Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda.
Ila hivi karibuni tena...
Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi.
By Zitto kupitia twitter:
"Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa thamani, uhai kwao ni wa watoto wake, mke au Mme, wazazi na ndugu damu.
Hawa watu wanaongezeka Kwa Kasi...
Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo).
Mbili, hawataki kutatua matatizo kwasababu matatizo ya wananchi ni fursa ya wao kuendelea kupata nafasi...
Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa tukio hilo kudai kuwa polisi huyo hakupigwa.
Viongozi waliokamatwa na kulazwa mahabusu katika kituo...
Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.
Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu.
Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini.
Amesema, "Wabunge ambao maeneo yenu miradi hii ipo, iwasaidie kujenga Maendeleo na nchi sio iwajenge ninyi binafsi. Kuna ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.